Nawezaje kuweka picha yangu kwenye Yahoo mail yangu

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Heshima mbele
Nimeona mara nyingi nikitumiwa e mail kutoka kwa jamaa mmoja imekuwa napicha yake inaonekana ukififungua hiyo e mail yake
je, nikitaka na mimi kuweka ili picha yangu iwe inaonekana kwa wale ninao watumia e mail nifanyanje?
kwa anae jua msaada pls
NB
Na hisi wapo watakao nishauri nimuulize huyo ambae akinitumia naona picha yake
mhusika amefariki.
 
Fungua hapa chini,kisha sign in kawaida,utap[ata option ya kuweka picha,.contcts nk

Now it's even easier to share what's important across the web - Yahoo! Pulse
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom