nawezaje kuweka picha kwenye thread?

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
kila nikijaribu inaandika attachment na mi nataka mtu aone picha bila kufungua iyo picha
 
kwanza itabidi uwe na image url nafkiri unaijua then tumia tag hizi



mfano

Url yetu ni

http://hemedans.xtgem.com/images/PsCanvas1.png

Then nkieka hizo tag na url itatokea hivi

PsCanvas1.png
 
Hili jambo hata mimi kwenye simu ya BB linanitatiza sana embu tuelimishane jamani ili nanyie muwe mnaona tunavyoviona
 
Back
Top Bottom