Nawezaje kutoka kwenye ndoa hii?

Wadau mbona mnapenda sana kumaind vitu vidogo tu jamaa katoa tu habari ili watu tuchangie sasa mnaanza kumponda kwa nini kama huna la maana kwa nini usichill kimya????Sio fresh jamani hapa sehemu ya kubadilishana mawazo sio sehemu ya kubishana

Akatafute mahalai pengine pa kupotezea muds BubU leo umeongea, huyu njamaa bonge la mzushi, kwanza hata kama ni kweli inaonekana hujui ama kumkoleza mke mpaka anakataa kuhamia kwako au ulioa baada ya kufanyiwa mambo ya concrete machine.
 
ushauri wangu

kwanza ungea na mkeo kwa mara ya mwisho pengine huenda akakusikia utakalo..... Baada ya hapo chukua hatua ya wakili kwa ajili ya talaka.

Pole na matatizo!!

Nakutakia wema na maisha mazuri
 
kwa taarifa tu ninavyoandika au kuchangia chochote mimi siangalii umaarufu na vingine vyote unavyofikiria wewe -- mimi ni mwanajamii forum ninachangia kile ambacho naona kina maslahi kwa jamii wanaohusika na kile kitu wewe ukiwa mmoja wapo na siwezi kuwa sawa na wewe au wengine wote wanaotaka niwe sawa nao kila mtu amekuw akivyake kasome kivyake na anaendelea kuishi kivyake na kufanya mambo yake

Ok. Ipeleke sehemu ya jokes ili wana jamii wasitumie muda wao kukupa ushauri wa jambo la uongo. Hatuna muda wa kupoteza hapa. Tunachangia issues muhumu kwa taifa hili na jamii yake. Jokes ziwepo ku refresh mind. Please, ni vema tuheshimu muda wetu. Bubu Ataka Kusema is right!!! Hata mimi nilisoma ile story ya kumtia binti wa kazi mimba, kumbe tena ulikuja kukanusha kuwa si kweli. Mods please, katika marekebisho ya sasa mliosema soon kwa kuzingatia maoni ya wadau hapa naomba pia mje na new moderating guides/rules na kuwa ni vema mtu akipost aweke post yake kwenye theme husika e.g politics, dini, mahusiano, jokes etc. Thanks.
 
Kutoa talaka huwa ni kitu rahisi sana sana. Wewe tu. Kama unahisi hayuko nawe, basi na wewe chuna. Akikuletea issue chuna. Kila kitu chuna. Usithubutu kujibu message yoyote anayokutumia. Akija kwako, hata kama ni mzee wa maadili vipi, wewe jichanganye vijiweni na ibuka na issue za ngazi kubwa mbele yake. Ataomba Talaka. Mbona easy.

Wanaume wengi sana huwa wanakosea hapa. Kumwacha unataka, lakini unasitasita bila mipango! Pale kwenye kusitasita ndipo mwanamke anapocheza napo. Maana nao wakifanya faulos ndogondogo, huwa hawana uhakika na hao wanaocheza nao. Ndiyo maana aachii kwako mpaka awe sure na kule kwenye anakocheza faulos. Sasa, Usipoaangalia, kwa sheria ya sasa ya Ndoa, unaweza fungwa! Kimantiki, ni bora ufungwe kwa UFISADI wa vitu kama EPA au kukwapua kitu, kuliko kuchomekewa! Unakufa before time.
 
we unataka aache kazi aje unaweza kumpa kila anacho taka kama hii story niya kweli, inaonekana wewe ni mbabe sana una command vitu ambavyo haviutaji comand uhamisho unapatikana taratibu zaidi ya mwaka huna subira kuna watu wavumilivu wametafuta uhamisho miaka miwil ndio wakapata
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom