Nawezaje kumlinda mtu kisheria

kholo

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
413
75
Habar za leo wanajamvi! Najitokeza kwa mara ya kwanza katika jukwaa hili kuomba mchango wako kisheria juu ya jambo linalonisibu. Nina dada yangu ameolewa mwaka wa 3 sasa na wameanza hawana kitu na sasa wanakitu japo sii kikubwa, tatizo walilonalo ni ugomvi kila leo mpaka inakua kero kwa familia sasa. Mwanaume hamtaki mkewe na humpiga vibaya sana hata kupoteza fahamu japo mke humsamehe na hayuko tayar kuachana naye kirahisi kwa kuwa wameanzia mbali mpaka hapo walipo. Sasa shida ni kwamba, jamaa hamtaki na hayuko tayari kumsikiliza wala kumhudumia cho chote. Je, ni jinsi gan naweza kuhakikisha usalama wake kwa kuwa kituo cha polic kiko mbali na hakuna mtu wa karibu wa kumtetea. Naomba msaada wako kisheria
 
Back
Top Bottom