Nawezaje kuirudisha meseji nilitotuma kwenye yahoo messenger !! ndoa iko hatarini!

Najaribu kujiuliza km unastahili kupewa pole au la.
Anyway, kuomba msamaha pekee si suluhisho la kudumu. Mimi, wewe, na yeyote mwingine, tuna weaknesses zetu, na kila mmoja wetu anazijua zake; tatizo ni kukataa kuwa hatuna udhaifu, ambalo nalo ni udhaifu.
Kwa ufupi, tuliza bongo na uzifukue weaknesses zako, vizuri ni kuziorodhesha kwa kuziandika, kisha tafuta njia ya kuziondoa. "Self awareness is the beginning of changes to the better". Ukifanikiwa hili, basi hata samahani yako kwa mwenzako itakuwa ya dhati.
Usipoteze muda na nguvu kwa kutaka kufuta kosa kwa kosa jingine, km unavyotaka hivi sasa (kutokana na jinsi ulivyoomba ushauri).
Kila la kheri!
 
jamani mbona hakuna anayemshauri la maana mwenzetu. mimi ni mwanamke, hivyo nielewe. sisi wanawake ni wepesi sana kuelewa, usi panic, subiri kwanza uone mkeo ata react vipi baada ya kuona msg, ikibidi mwambie kuna mtu ofisini aliamua kukufanyia hayo on your absence, muombe msamaha kutoka moyoni, japo unaweza kuomba msamaha huku unamng'onga maana na nyie wanaume hamfai wakati mwingine.
hao wanaojitia hapo uachane na nyumba ndogo, wao wanazo 5 kila mmoja, unaweza kuwa na sababu za msingi kuwa na nyumba ndogo, wewe si mtoto mdogo. wanawake wa siku hizi wanachangia sana nyumba ndogo kutafutwa. uvivu, hawajitumi na kutojali kumewazidi kisa ana degree ya mlimani. kama kuna mwanamke achangie hapa na yeye.
 
Sal, ndio maana nimemwambia if he has to do what he is doing...kuwa na hiyo nyumba ndogo basi awe makini.

Otherwise uongo atakaoutumia zali likitokea..km litatokea uwe pia wa viwango. Ukisema wanawake hawajitumi na kutojali kumewazid Sal haijengi sana maana hata jamaa hapa hakuwa mwangalifu, hakujali ndio maana akawapanga wote wawili na kuamua kuwatumia ujumbe kwa wakati mmoja. Man...do it right, I guess you did not learn from the best
 
Kana-ka-Sungu, Uko wapi... njoo okoa jahazi huku bwana, naona watu wana bwabwaja tuu... lol
 
Du, yani nimecheka sana. 4give me G29 my luch was perfected by this,nimekumbuka ukiona mtu mzima analia mbele za watu...Kwanza wachangiaji wanakupoteza tu, you know how to do it better. Go it wasnt me style n i can assure you she will never trust you again. As a woman , kama ningekuwa mi ndo mkeo ningefurahi kama ungekuja na kusema ukweli na kuomba masamaha. lakini habari za hackers, mtu anataka kuharibu ndoa yetu n bla bla, thats nonsense man, i wouldnt believe a word, after all its a very poor excuse for a man and old fashioned too. Kwenye password hatujui labda atakupa kama na yeye hana anachoficha huko, so its not reliable. Otherwise I would like to know how Sal would react akigundua mumewe/bf anacheat coz it seems unawaua sana wanawake wenzio. N let me tell you smth, wanaume wanapocheat si kweli kwamba the only reason ni kwamba wake zao hawajitumi na degree ya mlimani unayoisemea (sijui una maana gani). Hawa viumbe kama unae dhaifu atacheat tu hata umfanyie nini.Kama we ni bonge utareduse kutafuta model size atakuja na style ya kutaka bantu figure, utatoa hadi tigo baada ya kujituma kwa kila namna lakini bado ataenda kuwatafuta wengine, kimsingi majority hawaridhiki. Nani kasema degree za mlimani zinasabanisha mahusiano yadorore? ndoa nyingi zimeanzia hapo mlimani remember, All the best g29.
 
mimi nafikiri pia inategemea message yenyewe ameiandikaje! kama ni 'mbovu' kwa maana ameeleza yale yooote waliyokuwa wakifanya hapo nyuma na hiyo nyumba ndogo, hapo kuna kazi.
Na pia inategemea mahusiano yako na wife yakoje! kama ni shwari na hakuna kokoro kama za kana ka nsungu (kwa maana uwanjani kila kitu kiko muswano), then hapo inabidi uombe samahani baada ya wife kujilengesha, usianze wewe saa nyingine 'huwa nasikia message huwa hazifiki zilikotumwa'!

Otherwise kama message ilikuwa ni plain haina makuu na hukuandika jina la huyo kimada, na uhusiano wako na wife upo 50 - 50%, na kama atakuwa amepata hiyo message, then at the end unaweza kujitetea kuwa ulimtumia hiyo message ili apate wivu.
 
Yaani ningekuwa na namba ya simu ya mkeo ningempigia muda huu na kumpa breef ya haya yote na kumjaza upepo kinoma halafu namshawishi aende kwenye internet akasome na kuprint hiyo message.

Hapo ungeharibu mammdogo

Vile vile ningemshauri akunyime UNYUMBA mpaka hapo mafisadi wa BOT au Balali atapokamatwa!

Huu utakuwa ni ukatili kwa viumbe hai
 
Green29 naamini unampenda sana mke wako,ndio maana hata umeomba ushauri wa tatizo hilo,mimi ni mwanamke na naelewa yote hayo,ushauri wangu,umuombe msamaha tu,na pia jitahidi kuwa karibu naye sana mpaka asahau,u know ,sisi wanawake tukitendewa visivyo kuhusu suala la mapenzi hata penzi linapungua ,so utacreate mambo mengine kwenye ndoa yako,inategemea how ur wife strong she is,ila usikate tamaa we muombe msamaha am sure atakubali tu.all the best.
 
jamani mbona hakuna anayemshauri la maana mwenzetu. mimi ni mwanamke, hivyo nielewe. sisi wanawake ni wepesi sana kuelewa, usi panic, subiri kwanza uone mkeo ata react vipi baada ya kuona msg, ikibidi mwambie kuna mtu ofisini aliamua kukufanyia hayo on your absence, muombe msamaha kutoka moyoni, japo unaweza kuomba msamaha huku unamng'onga maana na nyie wanaume hamfai wakati mwingine.
hao wanaojitia hapo uachane na nyumba ndogo, wao wanazo 5 kila mmoja, unaweza kuwa na sababu za msingi kuwa na nyumba ndogo, wewe si mtoto mdogo. wanawake wa siku hizi wanachangia sana nyumba ndogo kutafutwa. uvivu, hawajitumi na kutojali kumewazidi kisa ana degree ya mlimani. kama kuna mwanamke achangie hapa na yeye.

nakubaliana na sal kwamba hakuna kati yetu anayemsaidia ndugu yetu baliwote tunampa ushauri kuhusu zinaa!! kutokana na zali alilolianzisha huu sio ushauri maana hausolve the imediate problem. namna hii ya kutatua matatizo kwa kwenda kwenye moral grounds ndio inafanya watanzania tusipate maendeleo maana tunakuwa off topic. swala la muhimu hapa ni je, hiyo meseji ilyoenda ina madhara gani? can we find an excuse to explain kuwa jamaa alikuwa kigoma na siyo zanzibar? thats the most important question. solution yake ni rahisi. nenda ubungo stand tafuta tiketi ya kigoma uandike siku hiyo ulikuwa sapozd kuwa kigoma. ikiwezekana foji hata risiti ya hotel uliyokaa kigoma. pale karibu na JM mall unaweza pata jamaa wakakudizainia risiti kali sana. ukishakuwa na hizo necessary documents at hand(n not before that) then use the shaggy strategy(it wasnt me). it ussually works bcoz u have solid evidence receipts at hand. kwa kuwa yeye hajui hilo kuwa uko prepared(if she isnt into jambo forum) then let her fume first. akishakasirika sana na kutishia kwenda kwa wazazi na akalia kidogo ndio mwambie kuwa you were in kigoma. hii ya kwamba kuna mtu katumia mesenger yako is very good maana watanzania wengi huwa tunasahau kusign out. mueleze kuwa uliacha kusign out bcoz bosi aliingia ghafla. kama una workmate ambaye hajaoa na mkeo anamfahamu kuwa ni player muombe akuback up(usisahau kuwa na yeye ni lazima umojie ticket za kwenda zanzibar na kurudi kwa watu wawili.)

u can save this young marriage n thats the most important fact kutokana na ushauri ulioomba.

baada ya kusolve hili tatizo la ndoa rudi kwetu tukupe ushauri nasaha namna ya kuavoid cheating by enjying your wife hata kama ni msomi wa udsm!!!
 
pia unaweza kumuonyesha mkeo joke hii labda kidogo atapata uelewa kuwa haya mambo ya kukosea message yanatokea

A man checked into a hotel. There was a computer in his room, so he decided to send an e-mail to his wife. However, he accidentally typed wrong e-mail address, and without realizing his error, he sent the e-mail.

Meanwhile… somewhere, a widow had just returned home from her husband's funeral. The widow decided to check her e-mail, expecting messages from relatives and friends. After reading the first message, she fainted. The widow's son rushed into the room, found his mother on the floor, and saw the computer screen which read:

To: My Loving Wife
Subject: I've Reached Safely
Date: 21 st July, 2004

I know you're surprised to hear from me. They have computers here now, and we are allowed to send e-mails to our loved ones. I've just reached safely and have been checked in. I see that everything has been prepared for your arrival tomorrow. Looking forward to seeing you then! Hope your journey is as uneventful as mine was …
 
nakubaliana na sal kwamba hakuna kati yetu anayemsaidia ndugu yetu baliwote tunampa ushauri kuhusu zinaa!! kutokana na zali alilolianzisha huu sio ushauri maana hausolve the imediate problem. namna hii ya kutatua matatizo kwa kwenda kwenye moral grounds ndio inafanya watanzania tusipate maendeleo maana tunakuwa off topic. swala la muhimu hapa ni je, hiyo meseji ilyoenda ina madhara gani? can we find an excuse to explain kuwa jamaa alikuwa kigoma na siyo zanzibar? thats the most important question. solution yake ni rahisi. nenda ubungo stand tafuta tiketi ya kigoma uandike siku hiyo ulikuwa sapozd kuwa kigoma. ikiwezekana foji hata risiti ya hotel uliyokaa kigoma. pale karibu na JM mall unaweza pata jamaa wakakudizainia risiti kali sana. ukishakuwa na hizo necessary documents at hand(n not before that) then use the shaggy strategy(it wasnt me). it ussually works bcoz u have solid evidence receipts at hand. kwa kuwa yeye hajui hilo kuwa uko prepared(if she isnt into jambo forum) then let her fume first. akishakasirika sana na kutishia kwenda kwa wazazi na akalia kidogo ndio mwambie kuwa you were in kigoma. hii ya kwamba kuna mtu katumia mesenger yako is very good maana watanzania wengi huwa tunasahau kusign out. mueleze kuwa uliacha kusign out bcoz bosi aliingia ghafla. kama una workmate ambaye hajaoa na mkeo anamfahamu kuwa ni player muombe akuback up(usisahau kuwa na yeye ni lazima umojie ticket za kwenda zanzibar na kurudi kwa watu wawili.)

u can save this young marriage n thats the most important fact kutokana na ushauri ulioomba.

baada ya kusolve hili tatizo la ndoa rudi kwetu tukupe ushauri nasaha namna ya kuavoid cheating by enjying your wife hata kama ni msomi wa udsm!!!

Honestly what does the bolded part mean?
 
Wewe Chaumbeya ni fisadi kubuhu wa mahusiano kutokana na yale uliyoyasema hapa. Nakupa 5 kutokana na upeo wa fikra za haya yote, ila nakupa sifuri kutokana na kuonesha nia ya kudanganya na ufisadi mdogomdogo unao weza kujihimu na kuutenda, kama vile kuforge receipts n.k. ilimradi tu kufanikisha maovu fulani. Umeshindwa kuchora mstari kuonesha mwisho wa ufisadi huu, bali umetaka kuanza kuhusisha hata wenye mabasi na hotel.. kitu ambacho tukikiachia ndiyo hicho kinatufikisha hadi kwa hawa wakina Ballali. Kama hili swala linahusu wapenzi, tutafute mbinu zote za kuyatatua yaliyojitokeza katika hali itakayo wahusisha wao tu na si wengine au taasisi nyingine nje.

SteveD.
 
wazee nimetuma message ya nyumba ndogo kwa wife kwa bahati mbaya. Nilikuwa nachati nao wote kupitia yahoo messenger sasa nikajikuta namtumia msg wife badala ya nyumba ndogo. wife alisha log out nahisi bado hajaisoma , nataka kujua kama naweza kuivuta ili asiikute.

bahati mbaya nilikuwa namkumbusha nyumba ndogo good time tuliyokuwa nayo wakati wa mwaka mpya huko zanzibar wakati wife anajua nilikuwa kigoma kikazi.

nisaidieni tuokoe hii ndoa changa washikaji
POLEE MZEE

MESAJI YAKO WIFE WAKO AMENIFORWADIA MIE COZ WAKATI WEWE UKO KGM/ZNZ PIA NAE NILIKUA NAE MZEE.

POLE SANA COZ AMESEMA NDO MWISHO BCS ANATAARIFA KUA SIKU 2 KABLA YA NDOA YENU ULIKUA NA NYUMBA NDOGO NASUBIRI HILO TIFU
 
chaumbeya nimependa majibu yako, acha wakuite ballali, au nani, shauri yao, muhimu ni kunusuru ndoa. ndoa zote hizi zinadumu na ziko hapo zilipo sababu ya kutwa kudanganya wake zenu. mwanamke bila kudanganywa haridhiki, its nature tangu mwanzo... alivyodanganywa na nyoka. na mwanamme kudanganywa na mwanamke ni nature, ndio maana mwenzetu alidanganywa na mwanamke waende zbar akakubali kwa kumdanganya mkewe, cha ajabu nini hapa?
 
Ningependa sana nami nianze kudanganyana na wewe, ila naogopa utanidanganya pia, kisha tutakuwa tunadanganya wadanganyika wetu majumbani mwetu nchini Danganyika!!
 
POLEE MZEE

MESAJI YAKO WIFE WAKO AMENIFORWADIA MIE COZ WAKATI WEWE UKO KGM/ZNZ PIA NAE NILIKUA NAE MZEE.

POLE SANA COZ AMESEMA NDO MWISHO BCS ANATAARIFA KUA SIKU 2 KABLA YA NDOA YENU ULIKUA NA NYUMBA NDOGO NASUBIRI HILO TIFU

Mtot wa mkulima, inabidi nikutafakari kwanza...!
 
Imekuwaje? Ushaachwa au? bado hajafungua email yake?
Ila na wewe nawe una mambo! unaona bora kumpeleka kimada Zbar badala ya mkeo....wanaume bwana.... Mimi nauita ushamba na sio "cheating".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom