Nawezaje Kufahamu kama niko Blocked - Yahoo Messenger?

Ilulu

Senior Member
Mar 22, 2008
161
31
Wataalamu,
Naomba msaada wa nini naweza kufanya ili kujua/kugundua kama nimekuwa blocked ku-chat katika yahoo Messenger na mtu ambaye siku zote nimekuwa na-chat nae ila ghafla simwoni online wala kujibu email zangu.
 
Back
Top Bottom