Nawezaje kuboost rendering/export speed kwenye premier pro?

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,788
15,682
Laptop yangu ina spec zifuatazo:-

Dell Precision Mobile
Workstation M4600 - 15.6"
- Core i7 2820QM - Win 7
Pro 64-bit - 4 GB RAM -
750 GB HDD


Kitu gani niongeze kiweze kuboost rendering & export speed ya video kwenye laptop yangu? Maana iko slow sana nikiexport video kutoka kwenye Adobe Premier Pro
 
mkuu kuna vitu bado vinamiss hapo,
1. hujataja gpu yako
2. hujataja version ya hio Adobe premier pro

kwa haraka haraka hapo hio ram inakulimit, version mpya za premiere zinataka gb 12 hadi 16 za ram. yako ni ndogo sana, fungua sehemu ya ram kwenye laptop angalia kama kuna slot haijatumika nunua ram ya 8gb chomeka atleast ifike 12gb.

kwa uhakika zaidi fungua task manager au resource monitor wakati una render video then angalia cpu, ram na storage zinajaa vipi hapo utaona kipi kinakurudisha nyuma.

pia workstation huwa zina option ya kueka hdd zaidi ya moja. nimesoma mahali ukiexport video kwenye hdd nyengine tofauti na unayotumia inaweza kusaidia,
 
pia inachukua muda gani? lets say video ya dakika 10 inachukua muda gani? na resolution unayo export ni ipi?
 
Asante sana CHIEF MKWAWA kwa ufafanuzi, GPU ni NVIDIA Quadro 2000M
graphics (2GB GDDR3), Adobe natumia cs6
 
pia inachukua muda gani? lets say video ya dakika 10 inachukua muda gani? na resolution unayo export ni ipi?
Nilijaribu kurender tu video ya muvi niliyoiedit yenye kama dakika 40, ilispend zaidi ya masaa 10, Video ina dimension 1280 × 720
 
Nimecheki Task Manager inaonesha CPU inaenda 26%, memory 62% disk 8%
 
Nilijaribu kurender tu video ya muvi niliyoiedit yenye kama dakika 40, ilispend zaidi ya masaa 10, Video ina dimension 1280 × 720
dah huo muda ni mwingi sana nimecheki minimum requirements hapa fanya hivi

1. ongeza ram hadi 8gb
2. utatakiwa uongeze hdd nyengine na ufanye raid 0 (hope unajua raid)

ila huo muda ni mwingi napata wasiwasi huenda setting za software yako ni tatizo una cpu nzuri sana na gpu pia inajitahidi.

unaweza jaribu cyberlink powerdirector? situmii premier pro nashindwa hata pa kuanzia ila natumia powerdirector kwangu ni rahisi zaidi na hata rendering yake inachukua muda mfupi na cpu yangu kimeo.

pia jaribu kufanya rendering zote za kutumia cpu na gpu uone ipi itakupa speed ikiwezekana pia tumia quicksync (inakuja na igp ya cpu yako na sio hio nvidia)
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom