Nawezaje ku-update window 7 ultimate kwenye PC yangu?

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,133
659
Tangu jana PC yangu imebadilika gafla. Inaelekea window 7 yangu imesha expire,inaniletea ujumbe huu;'THIS COPY OF WINDOW IS NOT GENUINE' naombeni msaada nifanyaje kuiupdate? Nilijaribu kuitafuta online,ikanitaka kuinunua. Shukrani.
 
ngoja tusubiri wataalamu wa haya mambo waje...na me NNA SHIDA NA PRODUCT KEY ZA WIN 7 ULTIMATE
 
tafta windows 7 loader mbona hili swali linaulizwa kila siku, google windows 7 loader download na ku i run kwenye pc yako restart mashine then bas
 
Nawashukuru wote mlionosaidia na mliokuwa na nia ya kunisaidia,nimefanikiwa. Mbarikiwe woote.
 
Back
Top Bottom