Nawezaje Ku-Burn mafaili above 5GB kwenye DVD?

qq.com

JF-Expert Member
Jan 9, 2012
367
123
Nina mafaili(forders) kadhaa kwenye laptop yangu,nataka kuyaifadhi kwenye DVD kwa sababu mbalimbali lakini kumbuka DVD mwisho wake huwa ni 4.7GB.Yale mafaili siyo VIDEOS.

Ninaomba ujuzi wa kuweza kuyachoma kwenye DVD au VCD kwa lengo hilo.sitaki kutumia EXternal HDD!
 
Kuna kitu inaitwa Blu-ray disc, kuna ya 25GB, ambapo kuna nyingine yake ni dual ina 50GB, ila pia nimewahi kusikia kuna ya 250GB.. Ila kwa hizi DVD za kawaida hapana.. Blu-ray ndo mpango mzima
 
Nina mafaili(forders) kadhaa kwenye laptop yangu,nataka kuyaifadhi kwenye DVD kwa sababu mbalimbali lakini kumbuka DVD mwisho wake huwa ni 4.7GB.Yale mafaili siyo VIDEOS.

Ninaomba ujuzi wa kuweza kuyachoma kwenye DVD au VCD kwa lengo hilo.sitaki kutumia EXternal HDD!

Kuna DVD za 8.GB tafuta hizo .

Angalia hapa wikipedia DVD kwa specs na ufafanuzi zaidi ili ufanye Dual layer recording
 
Hauwezi kufit 5 GB kwenye DVD ya kawaida itabidi:
  • Ununue dual layer DVD na uhakikishe Burner yako inasupport.
  • Hamia media nyingine (Blue Ray) sema hii itacheza kwenye Blue Ray drives tu ambazo ni chache.
  • Compress data zako(ZIP, RAR etc), kutegemea na aina ya data kuna uwezekano zinaweza kuwa compressed.
  • Vunja file vipande kisha choma kwenye disk zaidi ya moja. Program nyingi zinaweza kufanya kazi hii (WinZip, WinRar,HJSplit)
 
Nina mafaili(forders) kadhaa kwenye laptop yangu,nataka kuyaifadhi kwenye DVD kwa sababu mbalimbali lakini kumbuka DVD mwisho wake huwa ni 4.7GB.Yale mafaili siyo VIDEOS.

Ninaomba ujuzi wa kuweza kuyachoma kwenye DVD au VCD kwa lengo hilo.sitaki kutumia EXternal HDD!

Sina ujuzi sana na mambo ya kuburn cd ila nnavojua kama hicho kitu ni data unaweza kuki compress

Mfano games kama gta san andrea ninayo compressed file lina mb 600 wakati original ni 5gb

So kama hicho kitu ni data kama software game nk unaweza compress then ukaeka kwenye dvd

Ila kama ni kitu kama video au music ni ngumu kukompress

Na software za kukompress nakushauri tumia 7zip

Kama umeshindwa kukompress haina maana kua ndo njia zimeisha there is another way na hii ni kusplit file mfano una file la 8gb ligawanye liwe vipande viwili yaani vya 4gb then kila kipande kieke kwenye cd yake then vikifika computer nyengine viunge

Software maarufu inaitwa hsplit kwa ajili ya kusplit na kujoin

kama kuna tatizo let me know
 
Back
Top Bottom