Naweza Kuuza Jaguar yangu TZ

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,598
8,738
Wadau nina Jaguar S-type 4.0 2001 Model. Gari hii ni left hand na inatoka USA (American Quality). Ina Kila kitu na ni Silver na Black leather ndani. Imefika 100k miles juzi tu Je naweza kuiuza bongo nikiileta na kiasi gani?
 
Wewe sema unaiuza bei gani. Machine kifua sana hii.
 
Mkuu Kamundu,hii mashine Jaguar S Type ni kiboko.Its a machine of class, even in the US.
Lakini be careful, kama ni nia yako kutengeneza pesa hii gari hutapata wateja wengi sana, ungawa watakuwepo wanao itamani kama mimi.
Tatizo ni after-service na parts.
Utamadunu wa kufanya service magari hapa bongo unazidi kujijenga , kama parts na service parts hazitapatikana kiurahisi hiligari halikai sana barabarani.
 
Ni pm nitakwambia ninani asiye babaisha atachukua kwani alikuwa na mpango huo kwani aliyonayo ni ya 96!!
 
Back
Top Bottom