Naweza kusoma IT hta ngazi ya diploma?

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Mimi n kijana nliyemaliza fm 6 mwaka huu mchepuo wa HKL.Je kama nikibahatika kufaulu naweza kusoma IT?AU SIRUHUSIWI? Naombeni msaada.
 
Mimi n kijana nliyemaliza fm 6 mwaka huu mchepuo wa HKL.Je kama nikibahatika kufaulu naweza kusoma IT?AU SIRUHUSIWI? Naombeni msaada.

Unaweza kusoma ukifaulu..inategemea na chuo utakachotaka kwenda.
Mfano IFM kama umemaliza f6 unafanya certificate 1 year halafu Adv. Diploma ya IT ni 3 years, sijui kama utaratibu umebadilika kwa msimu wa 2010/2011..
Lakini kwanini ukifaulu f6 usifanye degree moja kwa moja? all the best!!!
 
unaweza lkn kama una matatizo na maths tafuta ustaarabu mwingine, IT sasa hivi sio deal sana unatakiwa uwe umespecialize eneo moja, vyuo vya tz vinatoa IT general na matatizo lukukiiiii, IT ni field pana sana sasa hivi ukitoka nje ndio utajua
 
Back
Top Bottom