Naweza Kupata Wapi Mwekezaji Kwa Hospitali Ya Kiwango Cha Kati?

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
Natafata Strategic Partner au Investor and Business Partner ambaye anaweza kusaidia kuboresha zaidi Hospitali ambayo inafanya vizuri-

- Ina Bed Capacity Zaidi ya 100 kwa DSM; Clinics: 3 more in DSM, 1 Morogoro, 1 Mbeya
- Wafanyakazi Zaidi ya 100
- Annual Gross Revenue Zaidi ya TZS 1.5 Billion
- Net Profit - Just Break Evening to $ 50,000 (Fluctuating)
- Patient Load - Zaid ya 40,00 Kwa Mwaka
- Fixed Assets Value - Zaidi ya $ 2.0 Millions

Kinachotakiwa kwa Mwekezaji:

- Kusaidia Kufanya Renovation ya Majengo na Kuongeza Mengine kwa ajili ya kupanua wigo wa huduma za kitabibu
- Kuleta vifaa vya kisasa vya kitabibu
- Kusaidia kuwafundisha Madaktari katika mambo mapya ya kitabibu
- Kusaidia kuanzisha kitengo cha Research
- Kusaidia Kuanzisha shule/chuo cha Kitabibu

Kiwango cha uwekezaji kinaweza kuwa kati ya $ 2 - 5 Millions.

Nitashukuru kupata msaada wowote wa reference au contacts za potential partner au yeyote anayevutiwa. Terms and conditions of Partnership can be discussed and agreed.
 
hii sentensi yako ni tata itenganishe ili ijulikane nini kipo wapi iwe rahisi kwa usomaji
mfano
dar kuna vitanda vingapi, wagonjwa nk
moro kuna viatanda viangapi nk

umesema profit $50,000 na wagonjwa 40,000 kwa mwaka inamaanisha kila mgonjwa mmoja anakupa faida zaidi $1000. weka mahesabu yako vizuri kwanza na uhakikishe kila kitu kinaona kabla ya kuomba partner

sifahamu mtu wa kukusaidia kwa hilo

Ila kwa upande wa vifaa jaribu kuwa unacheki mara kwa mara hospital demolition uk, huwa wanatafuta watu wa kuchukua vifaa kwenye hospitali kabla hazijabomolewa, vitanda vinakuwa vizuri hata ambulance unapata

kwa ushauri wa kibiashara
labda strip your assets - uuze majengo nk vya mikoa ambao haiukuingizii faida na utumie hiyo hela ku invest kwenye ambayo inakuingizia faida. halafu vunja manajimenti na kuanza upya (hospitali zina faida hasa kwenye sehemu yenye watu wengi lakini kama ikiendeshwa vibaya utakuwa uoni kitu).

good luck
 
Asante Mkuu.

Ni main hospital peke yake ndiyo inalaza wagonjwa. Clinics hazilazi.

Profit inafluctaute kati ya $ 0 - $ 50,000. Kama potential partner akiapatikana, atapewa reportz zote muhimu.

Hitaji kubwa kwa kweli si vitanda wala Ambulance bali vitu nilivyoviorodhesha. Hata hivyo nikipata hizo contacts za UK kama unazo zitanisaidia pia.

Kuhusu kuvunja Clinics zisizoleta faida na Management, sasa hivi tuna Consultant ambaye anafanya Study kabla hatujachukua hatua yeyote.

Asante sana Mkuu kwa mchango wako.
 
Natafata Strategic Partner au Investor and Business Partner ambaye anaweza kusaidia kuboresha zaidi Hospitali ambayo inafanya vizuri-

- Ina Bed Capacity Zaidi ya 100 kwa DSM; Clinics: 3 more in DSM, 1 Morogoro, 1 Mbeya
- Wafanyakazi Zaidi ya 100
- Annual Gross Revenue Zaidi ya TZS 1.5 Billion
- Net Profit - Just Break Evening to $ 50,000 (Fluctuating)
- Patient Load - Zaid ya 40,00 Kwa Mwaka
- Fixed Assets Value - Zaidi ya $ 2.0 Millions

Kinachotakiwa kwa Mwekezaji:

- Kusaidia Kufanya Renovation ya Majengo na Kuongeza Mengine kwa ajili ya kupanua wigo wa huduma za kitabibu
- Kuleta vifaa vya kisasa vya kitabibu
- Kusaidia kuwafundisha Madaktari katika mambo mapya ya kitabibu
- Kusaidia kuanzisha kitengo cha Research
- Kusaidia Kuanzisha shule/chuo cha Kitabibu

Kiwango cha uwekezaji kinaweza kuwa kati ya $ 2 - 5 Millions.

Nitashukuru kupata msaada wowote wa reference au contacts za potential partner au yeyote anayevutiwa. Terms and conditions of Partnership can be discussed and agreed.

Nitumie email yako ili tuwasiliane katika hili.
 
Haina haja ya wewe kutafuta mtu mmoja awekeze katika hiyo Hospitali. Cha kufanya ni uza hisa kwa watu. Kama hiyo Hospitali ipo kijijini au ktk mji; wafahamishe Wananchi umuhimu wa kuwekeza katika hiyo Hospitali na waeleze watapata faida kiasi gani.
 
Asante kwa Ushauri Mkuu.

1. Tumeshajaribu kufanya hivyo kwa watu binafsi na hata makampuni lakini somo limekuwa gumu kueleweka.

2. Huduma za kitabibu haziruhusiwi kutangazwa kama biashara nyingine na hivyo zoezi kuwa gumu zaidi.

Hata hivyo imefanyika kazi kubwa sana ya kuliboresha huduma na mapato. Kinachotakiwa sasa ni Investment Kubwa ya kuiweka hospitali katika hali ya kisasa zaidi.
 
Back
Top Bottom