naweza kupata huduma hii

Nyanya mbichi

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
3,716
2,207
mimi sio mtumiaji sana au sio mtaalamu wa internet, nina tumia samsung Galaxy pocket GT S5300
naomba kufahamishwa kama naweza kujiunga na kutumia Skype kwa kutumia hii simu



*****natanguliza shukrani*****
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom