Naweza kupata ajira?kwa kuwa na cheti kwenye masomo ya account?

MC babuu

Member
Jun 19, 2012
69
10
Habari za jioni wana jf.naomba msaada wenu wa mawazo kuhusu kozi ninayosoma ya account hofu yangu ni kwamba naweza naweza kupata ajira kwa ngazi ya cheti?.natarajia majibu mazuri kutoka kwenu kwani naamini wengi tulio hapa tuna busara.AHSANTE
 
Unaweza kupata (accounts asst,au cashier)
 
Back
Top Bottom