Naweza kuonja kabla sijaruhusiwa kula?

SOKETI

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
206
50
.....wakati wa kula hasa chakula usichokifahamu, ni kawaida ya mwanadamu kuonja kwanza. Mwonjaji akisharidhika na chakula ndipo huagiza/huitaji chakula tayari kwa kula hadi anapotosheka na akikipenda chakula atakila kila anapojisikia maishani mwake. Je, ni vyema kujaribu kufanya mapenzi na mpenzi wako kabla hamjaoana, au ndo itakuwa mnapasha kiporo wakati mkisha oana?
 
Hiyo migahawa unayoendaga wewe mkuu
Njoo huku hotelini kama kunakuonja, unaletewa menyu ya chakula na kuchagua unachotaka, ukiagiza ndo hichohicho...

Inategemeana na mikakati/mipango/malengo yenu ktk kulipa kipaumbele hilo swala, kama mmekubaliana msionje mpaka muoane ni vizuri na pia kama mmeamua kubanjuana kabla pia fuleshi depend on you...
 
ni uamuzi tu; ukionja utajua quality ya mzigo na usiporidhika unaweza kubadilisha mwelekeo; kutoonja ni vizuri zaidi kidini na kimaadili but waweza kuwa suprised big time..
 
Kuna kuonja siku hizi au watu wanakula kabisa, kikimchosha anaenda kwenye variety nyengine.
 
...onja tu, ndoa ni uthibitisho tu kisheria lakini haiongezi wala kupunguza ladha.
...usipoonja na kusoma "menu" unaweza kuagiza msosi usiokufaa na ukauacha mezani kwa kuangalia uzuri wa jina la chakula husika.
 
Sio mbaya saana ikiwa ni Mara moja lakini ikizidi itakua sio kuonja tena utashiba....
 
Naona unauliza vumbi stoo . Sio kuonja ni kutafuna moja kwa moja , mambo ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia nani anataka ? Ukikuta shemale je ?
 
Kwetu sisi tulofanya biashara ya kahawa pale kahawa House Moshi, lazima kila mzigo uonjwe, si rahishi kusadiki maneno yaliyoandikwa kuhusu mzigo husika. Lazima tuonje, kama kuna ki-ladha cha udongo, vitunguu, samaki, dagaa au uchachu. Ukisharidhika kuwa mzigo uko poa, basi una-bid na kama ni mzuri sana, unaongeza dau ili ushinde bidders wengine.

Kwa hiyo kuonja ni utaratibu wa kawaida tuu ili ufanyapo uamuzi, uamuzi huo uwe ni evidence-based. Hizi habari za ooh, kuonja ni dhambi, ooh ni kinyume na maadili, ni njama za kuficha na kunyong'onyesha ukweli. Karibu katika ulimwengu wa uonjaji.
Capita
 
DUnia ya sasa hivi kuonja ndio mwake maana unaweza uziwa mbuzi kwenye gunia halafu unaingia kwenye ndoa utata unaanza. Kuna mtu alishawahi kuoa mwanamke mwenye kitundu kimoja kidogo cha kukojolea tu jamaa bado kidogo achanganyikiwe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom