Naweza kuongeza chanell kwenye receiver ya media com

MAMU35

Member
Feb 6, 2011
63
6
Wanajamii naomba msaada kama kuna njia yeyote ya kufanya kama ninatumia recever ya MEDIA COM kupata channel zaidi
 
Unaweza kupata channel zaidi kwa kuongeza frequence au kuongeza LNB kwenye dishi lako ili kupata signal za satelite ya pili.
 
Je kuna key number au software ya kuchakachua Media Com receiver niweze kufungua HBO, Discovery channeks nk. Please Help!
 
Wanajamii naomba msaada kama kuna njia yeyote ya kufanya kama ninatumia recever ya MEDIA COM kupata channel zaidi

Hujaeleza unatumia Dish la ukubwa gani na unapendelea channel gani ungefunguka uwe wazi utarahisisha zaidi kupata msaada.
 
unataka upate chanel zipi sasa kuwa wazi ili upate msaada,binafsi natumia mediacom na nina zaidi ya chanel 600 zote ni FTA
 
nina madish mawili kubwa la wavu ft8 kwa ajili ya chanel za ndani aljazeera,cctv nk, na dish dogo la ku linashika chanel zoooote za kiarab,nimelielekeza magharibi.chanel za michezo zipo pia
 
nina madish mawili kubwa la wavu ft8 kwa ajili ya chanel za ndani,citizen tv, aljazeera,cctv nk, na dish dogo la ku linashika chanel zoooote za kiarab,nimelielekeza magharibi.chanel za michezo zipo pia
 
Mkuu mininatumia dsh la zuku natumia media com napata chanel kama 90 hiv ila nying ni zadin nipe uwe mvumilivu tupe ujuz kaka tufaid zaid chanel kama Q tv nahizo za docomentary.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom