Naweza kumuoa huyu?

Weye nawe huo upashkuna utakushinda sasa khaaaaa!!!

Makalio bapa...vinyonyo bapa...kula ujazie

Mh siwezi kugombana sijazoe. Hata hiyo ni sawasawa umwambie mtu we mbilikimo wakati mrefu kama hashim, sikushangai tokea ulivyokopwa krismas unahasiraaa ukome.
 
Mh siwezi kugombana sijazoe. Hata hiyo ni sawasawa umwambie mtu we mbilikimo wakati mrefu kama hashim, sikushangai tokea ulivyokopwa krismas unahasiraaa ukome.

Ulinkopa weye? Haya nimekoma kama vilivyokoma vindimu ulivyonavyo.
 
usipojifunza kuwa na mipaka,na ndoa yako itakuwa hivyo hivyo...hutajiuliza mara mbili kutembea na housegirl,na binamu ndugu zako wengine wakija kuishi na nyie hapo nyumbani pia utataka kuwatafuna...hao ndugu zako wameshakashtukia kapepo ka kutafuna ndugu zako kaliopo ndani yako...ndio maana wanakutafutia solusheni mapema...

wote mliomshauri amuoe huyu dada amjaze mimba...ni ma agents wa shetani!!!by the way ndoa yako ikipata matatizo utawaendea hao hao ndugu zako unaokataa ushauri wao,usidhanie utakuja JF...sie tunabakia kuwa VIVULI tu!
 
Kaka undugu unaishia kwa binamu, hao wengine si ndugu ni jamaa tuu! kama mnamalengo kamilisheni tuu.
 
duh extended family zetu balaa undugu hadi wa kuvuta na kamba,MJUKUU WA SHEMEJI YAKE NA SHANGAZI duh kaka hapa hakuna undugu wala ujamaa..oa weka ndani.
 
usipojifunza kuwa na mipaka,na ndoa yako itakuwa hivyo hivyo...hutajiuliza mara mbili kutembea na housegirl,na binamu ndugu zako wengine wakija kuishi na nyie hapo nyumbani pia utataka kuwatafuna...hao ndugu zako wameshakashtukia kapepo ka kutafuna ndugu zako kaliopo ndani yako...ndio maana wanakutafutia solusheni mapema...

wote mliomshauri amuoe huyu dada amjaze mimba...ni ma agents wa shetani!!!by the way ndoa yako ikipata matatizo utawaendea hao hao ndugu zako unaokataa ushauri wao,usidhanie utakuja jf...sie tunabakia kuwa vivuli tu!

nampenda huyu tu ... Hao ma house girl na mabinamu nishawaona sana sijawahi wawazia hata!
 
Waone kwanza wanaokutunza kiroho,maana umesema wewe ni mkatoliki mwone padri na umweleze hali ilivyo ushauri atakaokupa ufuate.Maana kuna kipindi jamaa mmoja alikutwa na mambo kama hayo ila alipomweleza mchungaji na wazee wengine wanaojua mambo vizuri walikubali na ndoa ikafungwa.Undugu hapo uko mbali sana.Pia pitia Biblia uone ni undugu wa aina gani unakatazwa.
 
waone kwanza wanaokutunza kiroho,maana umesema wewe ni mkatoliki mwone padri na umweleze hali ilivyo ushauri atakaokupa ufuate.maana kuna kipindi jamaa mmoja alikutwa na mambo kama hayo ila alipomweleza mchungaji na wazee wengine wanaojua mambo vizuri walikubali na ndoa ikafungwa.undugu hapo uko mbali sana.pia pitia biblia uone ni undugu wa aina gani unakatazwa.

Umecheza ki pierre, nitafanya utaratibu huu leo
 
Back
Top Bottom