si dhani kama kuna mila yoyote hapa wananibania tu hawa
mie mkatoliki mzuri sana .. Na binti pia mkatoliki.kaka hapo kunajambo...........ila mi naona imani yako ndio inakufanya uoe au laa.........
Mi mkatoliki so siwezi kumwoa nikama ndugu kwangu.........
Kama we ni oustadhi u can..........go on mr...
Nimempenda mjukuu wa shemeji yake shangazi yangu.
Ninampango wa kumuoa but binamu zangu wananikatalia eti ndugu.
Jamani hebu nipeni ushauri hapa
muoe tu hapo undugu haupo NATA
Kwani mpaka ule zizi la nyumbani? Mbona inawezekana msichana mzuri na anayefaa kuwa mke wako yupo 5km kutoka hapo ulipo? Na mwingine yupo 200km. Mjukuu wa Shangazi yako, ni sawa na mjukuu wa Baba yako (Baba na Shangazi ni mtu na dada yake), na ni sawa na mtoto wako. Upo hapo? Genetically sio safi sana. Kama kuna inferior traits kwenye ukoo wenu, zinaweza kujitokeza kwa watoto wako.