Naweza kumbadili changudoa au baamedi?

Ingia You Tube; andika "Nigerian movie Jealous Husband Part 1" angalia...kuna na part 11. Utapata majibu ya swali lako.
 
Hao ni wake wazuri sana kuliko inavyowachukulia. delusions na illusions ndizo zinatusumbua. kaza buti songa mbele.
 
Anaweza badilika.
Inategemea msukumo wa kuwa changudoa ulikuwa ni nini, kama ugumu wa maisha na kipindi anaanza hakuwa na machaguo (options) ya kutosha, then anaweza badilika kama anataka kubadilika.
 
hapa ishu ni kufurahisha baraza.

Kaizer, Asprini, Bishanga njooni tufurahishane.

Hahahaha! mwanaume anayeweza kumshawishi mwanaume mwenzake ammiminiepo mpaka awe shoga atashindwaje kumshawishi mwanamke mlipuko kuwa bikira Maria wa karne hii?
Kweli Kongosho hebu njoo huku mapangoni Torabora tufurahishane kwenye vyuma chakavu na kokoto.
 
Last edited by a moderator:
Asprin toka aende chechnia hajarudi...

Bishanga kakimbia deni mjini

kabakia Kaizer tu.....

Ila kwa mtoa mada, binadamu habadilishwi tabia, anabadilika akitaka

Wifey bana. hivi hujajua nimehamia Torabora? Biashara ya vyuma chakavu inalipa sana, japo network inasumbua. Kama hapa nimeazima network ya Al Tawfiq ili nijibu hii post yako.

Salimiamo Yummy, cacico na Kongosho.
 
Last edited by a moderator:
Tabia haibadilishwi Kama switch you current 240/110! Mungu akusaidie.

Hi wadau,kwa wale wataalam wa saikolojia na social sayansi.Ni lengo la kuoa sasa targeti yangu ni kuchukua changu yule classic au baamedi mkali kama atakubali wazo langu la kumuoa basi tukapime afya akiwa fit nimpeleke kwa watu wa canselling wamtoe kule alikokuwa na kumbadilisha tabia hata kama K itakuwa imechoka poa tu ili mradi nipate mtoto classic.Kwa wazoefu wa haya maswala je anaweza badilika na akatulia kama mke.
 
anaweza ila sharti lao lazima ufungue kahumba,kona bar, humo ndani kwako
Jamaa alieimba kunguru hafugiki unazani alikosea?
 
Hi wadau,kwa wale wataalam wa saikolojia na social sayansi.Ni lengo la kuoa sasa targeti yangu ni kuchukua changu yule classic au baamedi mkali kama atakubali wazo langu la kumuoa basi tukapime afya akiwa fit nimpeleke kwa watu wa canselling wamtoe kule alikokuwa na kumbadilisha tabia hata kama K itakuwa imechoka poa tu ili mradi nipate mtoto classic.Kwa wazoefu wa haya maswala je anaweza badilika na akatulia kama mke.

Una maana gani unaposema "changu yule classic au baamedi mkali" na "mtoto classic"
 
Hi wadau,kwa wale wataalam wa saikolojia na social sayansi.Ni lengo la kuoa sasa targeti yangu ni kuchukua changu yule classic au baamedi mkali kama atakubali wazo langu la kumuoa basi tukapime afya akiwa fit nimpeleke kwa watu wa canselling wamtoe kule alikokuwa na kumbadilisha tabia hata kama K itakuwa imechoka poa tu ili mradi nipate mtoto classic.Kwa wazoefu wa haya maswala je anaweza badilika na akatulia kama mke.

Unataka kuishi maisha ya ndoa kwa majaribio? You can try that option at your own risk lakini uwe tayari kwa lolote litakalojitokeza endapo mpango wa kumbadili huyo changudoa utagonga ukuta ukiwa tayari kwenye ndoa. Utafiti nilioufanya mwenyewe uanonyesha wenye tabia hizi, baadhi yao huwa ni ngumu sana kuziacha moja kwa moja maana wameshazoea mapishi mengi.
Sijui utajisikiaje ukiwa na mke na wenzao wanakuja kujitwalia kirahisi tu.
 
Hi wadau,kwa wale wataalam wa saikolojia na social sayansi.Ni lengo la kuoa sasa targeti yangu ni kuchukua changu yule classic au baamedi mkali kama atakubali wazo langu la kumuoa basi tukapime afya akiwa fit nimpeleke kwa watu wa canselling wamtoe kule alikokuwa na kumbadilisha tabia hata kama K itakuwa imechoka poa tu ili mradi nipate mtoto classic.Kwa wazoefu wa haya maswala je anaweza badilika na akatulia kama mke.

A woman is like GUITAR.....the way you tune her is how you get the best of MELODIES and RHYTHMS......The rest ni social stereotypes
 
Wengine shida ndio zinawa sababisha kwenda uko

Lakini narudia tena lakini angalia mkubwa usije kutusumbua kutaka ushauri mwengine-
Mke wangu atembea na baba mzazi
Mke wangu atoroka na kiwango kikubwa cha pesa
Mke wangu nimemfumani live akiliwa 071 na mengineyo
Fahamu-Tabia ya mtu ubadirishwa na yeye mwenyewe
 
Issue iko hiv,
machangu hua wanafanya mapenz kwa minajil ya kupata hela, sio raha.
But sometimes hua wanakutanaga na wajuz, hivyo nao hufurahi pia. Hivyo wanawakumbuka moyoni mwao.

Pia labda kazoea "mavituz" daily, utamridhisha vipi?
 
A woman is like GUITAR.....the way you tune her is how you get the best of MELODIES and RHYTHMS......The rest ni social stereotypes

pale moshi bar mabaa medi wanabadilishwa kila leo. Kila wakiletwa wajanja wanaoa na kuwaweka ndani. Akamtrace mzee moshi bar amtafutie hao jamaa ili wampe maujanja
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom