Naweza kumbadili changudoa au baamedi?

Chinga boy

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
412
101
Hi wadau,kwa wale wataalam wa saikolojia na social sayansi.Ni lengo la kuoa sasa targeti yangu ni kuchukua changu yule classic au baamedi mkali kama atakubali wazo langu la kumuoa basi tukapime afya akiwa fit nimpeleke kwa watu wa canselling wamtoe kule alikokuwa na kumbadilisha tabia hata kama K itakuwa imechoka poa tu ili mradi nipate mtoto classic.Kwa wazoefu wa haya maswala je anaweza badilika na akatulia kama mke.
 
Kwani Baamedi anashida gani? Unadhani ni wote wanaendekeza kuvua sketi kila siku? Mbona wapo wanaojiheshimu tu.

Kwahiyo lengo lako ni kumuoa wa hivyo au kuzaliwa mtoto classic?
 
fuata moyo wako ila kabla hujaamua chochote Jiulize " mko wangapi" na mtakuwa wangapi baada ya hapo? pia jua afya yako na yake kabla..
 
Muhimu ni wewe kubadilika kabla ya kufikiria kuwabadili wenzako. Pia kama uko tayari kuwabadili wenzako jiandae kubadilishwa wewe. Baamedi nadhani anafanya kazi kama watu wengine. Hata huyo changu kama umemzimia ni juu yako kuvumilia sifa yako vinginevyo lazima ukumbuke kuwa rafiki wa mwizi mara nyingi naye ni mwizi. Waingereza husema show me your friends I will tell you who you actually are.
 
Hi wadau,kwa wale wataalam wa saikolojia na social sayansi.Ni lengo la kuoa sasa targeti yangu ni kuchukua changu yule classic au baamedi mkali kama atakubali wazo langu la kumuoa basi tukapime afya akiwa fit nimpeleke kwa watu wa canselling wamtoe kule alikokuwa na kumbadilisha tabia hata kama K itakuwa imechoka poa tu ili mradi nipate mtoto classic.Kwa wazoefu wa haya maswala je anaweza badilika na akatulia kama mke.

Nimekusoma. Wapo watu walioa Changudas, pamoja na kuwa hawakufahamu hivyo mwanzoni, na they became very good wives. Ni heri kuoa yule ambae ameshapitia uhuni wote na ameamua kutulia kuliko kuoa ambae unafikiri ametulia kumbe bado hajapitia haya mambo, na akishaolewa ndio kwanza anaaza uhuni. We usipime. Utapata presure bure!. Kwa hiyo nakushauri, ongea nae kwanza halafu mkapime afya. Kwa heri.
 
Inahitaji uwe na ujasiri kama ule wa kumbusu mamba shavuni.
 
mie naona kulingana na post yako oshu ni wewe kupata demu classic...basi mbona ata humu kitaa unaweza pata demu classic ni wewe tuu na mkwanja wako
 
ingewezekana kukugongea likes zaidi ya moja nigefanya hivyo, miongoni mwa watu ninaowapenda ndio hao, wako hapo kwajili ya shida na wengi wao wana practice safe sex sio kama tunavyowaza, kumbuka sijasema wote bali wengi wao
Muhimu ni wewe kubadilika kabla ya kufikiria kuwabadili wenzako. Pia kama uko tayari kuwabadili wenzako jiandae kubadilishwa wewe. Baamedi nadhani anafanya kazi kama watu wengine. Hata huyo changu kama umemzimia ni juu yako kuvumilia sifa yako vinginevyo lazima ukumbuke kuwa rafiki wa mwizi mara nyingi naye ni mwizi. Waingereza husema show me your friends I will tell you who you actually are.
 
Mi saikolojia sijui bwana ila what i know ni kuwa All other factors ignored UTAFAIDI SANA KUNAKO 6 BY 6. Over 5 years of experiance and practise in the FIELD!!!!!!!! Hiyo ni NOMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Skillss zote za visosa, shika mic, chocolate NK NK at your DISPOSAL???!!!!! You will enjoy BIG TIME. LOLEST!!!!!
 
Ila pia wako Bar medi wameolewa na wana familia zao imara tu!! Sema wengi wao ni sehemu ya kinywaji kwa walevi lakin wachache wao ni wastaarabu. Kwa ujumla kazi ya Bar Tanzania haina heshima na ndio maana tunawadharau!!
 
Duh! inaelekea michezo ya Barmaid na Changz zilikuwa ndio zako, inawezekana umeshavuta ndani kabisa hapa unatusikilizia tuu! hahaha
 
Aaaaaaaa chinga boy! Naona unataka Kuwa mjasiriamali! Huyo mke atakufaa make atakuwa anatengeneza pesa kesho yake asubuhi anakuletea ndani 'husband' unaenjoy tu! Kazi kwako endelea na mpangowako ule pesa za wanaume wenzako!!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nimeshangaa umetanguliza kutaka kuoa changudoa/baamed wakati mm naelewa mke anatokana na upendo uliokuwa nao kwake na vingne vingi alivyokuwa navyo ikiwa n pamoja na Mungu alokupangia!!!Fuata moyo wako unamfeel vp huyo umtakae!!
 
Last edited by a moderator:
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom