Naweza kujua elimu ya mtu kupitia post zake?

Kwa nchi ambayo haijawahi kutengeneza hata Toothpick katika miaka yake yote 50 ya uhuru. Usomi wa 'wasomi' wake ni aibu kwa taifa na dunia.
Yaani wameshindwa hata na vijana wa mitaani waliovumbua 'chips mayai!'

KAZI KWELI KWELI! chips mayai!
 
It is ze mimi off kouzi, end skul me go long time I alived here in ze JF I was in under ze tree and later my father said something to one gavament ofisho and later they send me to university of Dar Es Salaam. Ok, thank you very much, me I am over. Peaci!
 
Plz,naomba nisite kusema,haka kamsemo wa kijungu kanakosema eti,Prejudice is ignorance.NIME6 KUSEMA,cjatukana
 
na hawa vipi elimu zao'figganiga'kongosho'lizzy'sweetlady'
Director1 na rev masanilo?naombeni mnisaidie
mimi NI DARASA LA SABA LA MKOLONI WITH BACHELOR DEGREE IN JUKWAA LA ELIMU OFFERED BY UNIVERSITY OF JAMII FORUM........OVER
 
Yes inawezekana kwa mfano wewe kutokana na ulivyoandika unaonekana bado upo secondary na unajiandaa na mtihani wa QT!
 
Back
Top Bottom