Madrasa ni elimu yangu ya kwanza na iliyokuwa na msingi kuliko zote. Hizi za kidunia I don't count on them.Rejao ni kilaza elimu yake ni form four Taqwa Muslim secondary ongezea na madrasa
na hawa vipi elimu zao'figganiga'kongosho'lizzy'sweetlady'
Director1 na rev masanilo?naombeni mnisaidie
naona watu wameanza kujieleza kuh viwango vyao vya elimu, I thought hoja ilikuwa kama anaweza kutambua elimu ya mtu kupitia post zake, kwa upande wangu nasema unaweza kkutambua kiwango cha uelewa wa mtu kupitia post zake, ila kwa kujua kiwango cha elimu sina hakika kwa sababu elimu na uelewa/ufahamu ni vitu tofauti ingawa kuna ukweli mkubwa kwamba elimu humsaidia mtu/ kumuongezea / kupanua ufahamu wa mtu na mara nyingi waliopata elimu ya darasani huwa na uelewa mpana kulinganisha na wasiopata nafasi hiyo. vpi unataka kuwatumia katika shughuli zako au???
Dah! Umenikumbusha mbali mzee. Taqwa,mitaa ya Kirumba,Mwanza hiyo.
Mkuu wa Chuo! Lizzy ni kilaza unataka kuliambia jukwaa?figganiga, rev masanilo na Director1 hao wana elimu ya juu wamebobea haswa! Lakini Lizzy, sweetlady na kongosho wenyewe wamekalia mapenzi na mahusiano tu...
Mkuu wa Chuo! Lizzy ni kilaza unataka kuliambia jukwaa?
Daaah! Aisee.figganiga, rev masanilo na Director1 hao wana elimu ya juu wamebobea haswa! Lakini Lizzy, sweetlady na kongosho wenyewe wamekalia mapenzi na mahusiano tu...