BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,772
- 23,162
unajenga. Nipe tenda hiyo
Kwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( I assume uko Dar es Salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza):
- Matofali 5,000 @700=TZS3,500,000
- Mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
- Cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
- Mbao zote TZS4,000,000/=
- Bati 60 @ 15,000=900,000/=
- Fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
- Finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
- Finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=
vyumba vinne means one bed room, sebule moja, jiko na stoo moja na choo kimoja. Ila vyote vinakuwa ndani
chumba kimoja cha msingi wa kozi tatu ni matofari 300 * 4 = 1200
au kozi tano ni matofari 500 * 4= 2000
maximum tofari 3000/50 = 60 mifuko ya cement. * 14000= 840,000
mafundi matofali + mchanga + machine+ kumwagilia= 900,000
fundi kujenga mpaka linta + kupiga linta na kuinua kozi za juu= 2,000,000
fundi kuezeka 600,000
mbao treated ( inategemea na design) maximum= 1,000,000
bati 28 geji 120 * 160,000= 2,300,000
dirisha moja 240000 * 10 = 2,400,000
milango 7 * 150,000= 1,050,000
kupiga ripu fundi + cement + mchanga = 800,000( ndani) + 800,000 ( nje)
gypsum = 60 * 14,000= 840,000
fundi gypsum + rangi= 600,000
tyles nyumba yote = 1,500,000
fundi tiles= 500,000
wiring vifaa= 1,500,000
fundi wiringi = 600000
pigeni jumla ni ngapi haya ni mahesabu ya juu sana
Yaani wewe jamaa huwa unaniacha hoi kwa visifa vyako_nafikiri unaishi tanzania yako mwenyewe ambayo watu wengi hawajaifikia na hawajawai kuifikiria.....a common mwananchi 20mil ni hela ya kuipangia malengo kabisa mkuuMilioni 20 ni vihela vidogo sana.
Igwe like your comment mkuu,..you seem to be a positive thinker_Jah bless mkuuUnaweza kujenga na ikabaki,
hebu ni pm kama uko serious..
boss
nilikuwa nataka yale matofali ya kuchoma, mekundu. Utanletea mpaka dar kwa moja kiasi gani?
kama uko serious n pm idadi yako...
Halafu nita piga mahesabu yangu
nitakwambia
Nitayahitaji kwa siku za usoni kidogo, nikishajua idadi kamili nitakuandikia. Though kujau range ya bei muhimu, li nijue niyatumie kiasi gani kuhakikisha costs hazizidi milioni 100 :]
Siikiliza uliyoshauriwa hasa kwa wale wanaodai utaweza na wakakupa figures.jamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo dar kwa milioni 20????niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...
thanks,
jamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo dar kwa milioni 20????niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...
thanks,
Kwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( I assume uko Dar es Salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza):
- Matofali 5,000 @700=TZS3,500,000
- Mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
- Cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
- Mbao zote TZS4,000,000/=
- Bati 60 @ 15,000=900,000/=
- Fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
- Finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
- Finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=
At least umeongea neno la kujenga kidogo_lakn sio kukebehi eti 20mil sio hela,Mimi ningekuwa wewe wala nisingeanza kupanga mipango ya kujenga nyumba. Ningeanza biashara ya kusafirisha nguruwe kwa mchanganuo huu hapa chini
1. Nguruwe 150 wadogo @ 10,000
2.Chakula (mashudu) Tshs 5,000 kwa mwezi kwa nguruwe mmoja
3.Ujenzi wa mabanda Tshs 250,000
4.Mlinzi Tshs 20,000 kwa mwezi
5.Matibabu Tshs 30,000 kwa mwezi.
Nguruwe huchukua miezi 6-8 kwabla ya kuanza kuuzwa. Kwakweli ni biashara nzuri sana na ndani ya miaka miwili unaweza kuwa na hela chafu kiasi cha kugombewa na mademu kama mpira wa kona.
Mimi ningekuwa wewe wala nisingeanza kupanga mipango ya kujenga nyumba. Ningeanza biashara ya kusafirisha nguruwe kwa mchanganuo huu hapa chini
1. Nguruwe 150 wadogo @ 10,000
2.Chakula (mashudu) Tshs 5,000 kwa mwezi kwa nguruwe mmoja
3.Ujenzi wa mabanda Tshs 250,000
4.Mlinzi Tshs 20,000 kwa mwezi
5.Matibabu Tshs 30,000 kwa mwezi.
Nguruwe huchukua miezi 6-8 kwabla ya kuanza kuuzwa. Kwakweli ni biashara nzuri sana na ndani ya miaka miwili unaweza kuwa na hela chafu kiasi cha kugombewa na mademu kama mpira wa kona.
Kama ni chumba na sebule aka 'polisi posti' zinatosha sana.jamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo dar kwa milioni 20????niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...
thanks,
Watu wanaongelea nyumba wewe unaleta habari za nguruwe..kaz kwelkwel.Mimi ningekuwa wewe wala nisingeanza kupanga mipango ya kujenga nyumba. Ningeanza biashara ya kusafirisha nguruwe kwa mchanganuo huu hapa chini
1. Nguruwe 150 wadogo @ 10,000
2.Chakula (mashudu) Tshs 5,000 kwa mwezi kwa nguruwe mmoja
3.Ujenzi wa mabanda Tshs 250,000
4.Mlinzi Tshs 20,000 kwa mwezi
5.Matibabu Tshs 30,000 kwa mwezi.
Nguruwe huchukua miezi 6-8 kwabla ya kuanza kuuzwa. Kwakweli ni biashara nzuri sana na ndani ya miaka miwili unaweza kuwa na hela chafu kiasi cha kugombewa na mademu kama mpira wa kona.
Exactly.. Akiondoa gharama za msingi pengine million 20 inaweza labda kutosha, #justsayingIntakua tu kweli kama itakua ni flat terrain especially kwenye substructure! kama kiwanja unacho Kimara i doubt .