Naweka picha yangu ya ukweli kwenye avatar

hv jamani kuna ubaya mtu akiweka picha yake ya ukweli ? tuwe real jamani mimi naweka kwenye profile yangu leo sidaiwi na mtu wala simuogopi mtunimechoka kuishi kifekifeki ila mkiniona msishtuke jinsia ndo iyo iyo

Utakuwa mfano mwema kwa Watanzania. Bandika picha halisi, CV yako pamoja na mahali unapofanyia kazi na kuishi
 
Utakuwa mfano mwema kwa Watanzania. Bandika picha halisi, CV yako pamoja na mahali unapofanyia kazi na kuishi
ni hilo tu umeona hadi ndugu zangu wooote nawaweka
 
savannah ya quality au ya hapo benjamini mkapa? nipo TA kwa sasa ma dia...w.end naruka H! hii ratiba umeisahau?
ahahaaa wabaya wako huku wakikusikia watajinyongaila naona nape anajali vijana wakengoja nije nichukue kadi na mimi
 
Sasa sie ambao tukipita hospital watoto wanalia tufanyeje? Mbona mwataka kutunyanyapaa na sura zenu?
Nikiweka yangu lazima jf i-crash kwa mwezi mzima, nishikilieni kabla sijaamua kuiweka.

hahahahahahaha weka bana
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom