Naweka degree yangu pembeni nataka kujiajiri.

Mfarisayomtata

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
474
188
Wadau mi nipo mwanza na nimemaliza chuo kikuu mwaka huu na B.A in Public Relations and Marketing, je kwa hapa mwanza au kanda ya ziwa ni biashara gani inaweza kunitoa, mtaji wangu hauzidi laki 5. Msaada tafadhari.
 
Anza kwa kufanya utafiti ktk mawazo yako biashara gn unapenda,then angalia demand ktk eneo husika(wewe ndo utalchagua hilo eneo),uwe unalinganisha na mtaji wako at the same time,then uanze:ila ingia na degree yako huko ktk huo ujasiriamali,maana hata huko inahtajka sana,usiiweke pembeni tafadhari!
 
Wadau mi nipo mwanza na nimemaliza chuo kikuu mwaka huu na B.A in Public Relations and Marketing, je kwa hapa mwanza au kanda ya ziwa ni biashara gani inaweza kunitoa, mtaji wangu hauzidi laki 5. Msaada tafadhari.

Wewe unapenda nini zaidi?? What is your passion? Wajasiriamali wengi waliofanikiwa wamefanikiwa kwa kufanya vitu wanavyovipenda. Start from here. kwa mfano, kama wewe ni mpenzi wa mpira, nunua tv nzuri, unganisha na DSTV, tafuta mtu wako unayemuamini mwenye bar nzuri, muwekee, onyesha mpira kwa viingilio. Hii ni good start. Kwa mtaji wako huo wa laki 5, unatosha kbs kufanya kitu namna hii
 
Mkuu "B.A in Public Relations and Marketing" ni mtaji tosha. Kama huwezi kukitumia ulichokipata hapo basi sielewi maana ya chuo. Think man, think. Uwezi kuiweka pembeni ukifanya hivyo ndio sababu unaUliza maswali kama haya
 
Back
Top Bottom