...nawe ijaribu pia!

Guys what the hell is going on here? Invisible ondoa mabano utupunguzie thinking cracks, please.
Baada ya hayo nakutuma salaam zifuatazo ziwafikie wahusika;
A%20S%20103.gif

Maxence Melo (Heshima kwako)Paw (Punguza hasira) Meezy Ukija A-Town tutafutane) Fang (Unarudi tena lini China?} Roulette (love ya vere mach baby)
Wengine wakaushie kwanza. #justsaying

Hahaaaaaaa! huyo Paw natamani nionane naye face2face manake kila nikichemka najikuta ye ndo yupo shifti ananinyongelea mbali. Naomba nikutane naye kabla hatujarushiana vitu vizito vyenye ncha kali!
#justsaying...........nawe jaribu pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom