Nawazaaa...

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
vipi ma greater thinker...wakuu wa mjengo huu,mi bado bachelor ilaa nimekuwaa kwa miaka mingi nikifikiriaa na kuwazaa jamboo mojaa...NIMEKUWAA NIKIUZURIA HARUSI NYINGI SANA,ILAA SIJABAHATIKA KUMUONA BIBI HARUSI AU BWANA HARUSI WAKIENDA MSALANI NDANI YA UKUMBI,NIKWAMBAA UKIWA PALE MEZA KUU HUSKII HIZO HAJA AU HAIRUHUSIWI NA JE UKIBWANA HATA NA HAJA NDOGO UNAFANYAJE?
 
ni maandalizi ndugu yangu,hata viongozi wanchi normaly katikati ya shughuli/mikutano/harambee/hafla kawaida huwa hawaendi toilet.
 
mkuu maandalizi gani maana,naona pale wanakunywa vimiminikaa
ni maandalizi ndugu yangu,hata viongozi wanchi normaly katikati ya shughuli/mikutano/harambee/hafla kawaida huwa hawaendi toilet.
 
mh,me nliwah kuona bi.haruc akienda msalan bt ilikuwa wakt wa msosi. nahc weng hutumia muda wa msoc kwenda msalan!
 
Kama walivyosema wadau hapo huu ni kujipanga tu. Binafsi nimesimamia harusi kadhaa na nyingi maharusi huwa wanaenda toilet ile kabla hawajaingia ukumbini, pale wakiwa kwenye gari wanasubiri kuitwa na MC na pia wakati wa chakula kabla hawajarudi meza kuu. Ni magap yanayotumiwa ambayo sio rahisi watu wengi kunote kutokana na pilikapilika za event yenyewe.
 
vipi ma greater thinker...wakuu wa mjengo huu,mi bado bachelor ilaa nimekuwaa kwa miaka mingi nikifikiriaa na kuwazaa jamboo mojaa...NIMEKUWAA NIKIUZURIA HARUSI NYINGI SANA,ILAA SIJABAHATIKA KUMUONA BIBI HARUSI AU BWANA HARUSI WAKIENDA MSALANI NDANI YA UKUMBI,NIKWAMBAA UKIWA PALE MEZA KUU HUSKII HIZO HAJA AU HAIRUHUSIWI NA JE UKIBWANA HATA NA HAJA NDOGO UNAFANYAJE?

aisee nilikua sijawai kufikiria hiyo but ni kweli...nadhani ukiwa pale kwenye hightable ile nervousness inakufanya hata kwenda toilet husikii
 
yaaah!!kuna kiukwelii flani hapoo mkuu
Kama walivyosema wadau hapo huu ni kujipanga tu. Binafsi nimesimamia harusi kadhaa na nyingi maharusi huwa wanaenda toilet ile kabla hawajaingia ukumbini, pale wakiwa kwenye gari wanasubiri kuitwa na MC na pia wakati wa chakula kabla hawajarudi meza kuu. Ni magap yanayotumiwa ambayo sio rahisi watu wengi kunote kutokana na pilikapilika za event yenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom