...nawaza...

Feb 20, 2012
93
11
Nawaza kama UKIMWI usingekuwepo watu wangefanya ngono kama hayawani. Manake kama hivi tu na huu UKIMWI watu wanakua na wapenzi wengi, ingekuaje kama usingekuwepo?
!!
Hebu tubadili tabia na mienendo yetu, tuzishike amri za Mungu..
 
Hata mimi huwa nawaza hivyo watu wanatamani kufanya hata hadharani. Siku hizi ngono ndio life style ya watu wanasex kama mbwa, maana mbwa huwa wana misimu yao ikifika hawajali wako mahali gani full kupiga vyombo.

Tupunguzeni jamani tutubu tunayoyatenda
 
Badala ya kuogopa UKIMWI, Hebu tumwogope Mungu Basi

Tuache Dhambi na si kuogopa maradhi

Mungu Mwenyewe ajiinue na kutupa neema yake ili tuishinde Dhambi
 
Unaeza kukuta ukimwi usingekuwepo hata uasherati usingekuwepo, muhimu ni tumuogope mungu.
 
Hata mimi huwa nawaza hivyo watu wanatamani kufanya hata hadharani. Siku hizi ngono ndio life style ya watu wanasex kama mbwa, maana mbwa huwa wana misimu yao ikifika hawajali wako mahali gani full kupiga vyombo.

Tupunguzeni jamani tutubu tunayoyatenda

miss you broda.
 
Back
Top Bottom