Nawauliza wakubwa tu...

Hehehehehe eeeh bana hahahaa haya naona umekuja na ya kufungia mwaka

Kama za kichwani zinanyolewa na kinyozi bila shaka na za uwani zina kinyozi wake
Wewe wajua? Msaidie mhusika, japo nikijaribu hata kuchunguza hajitokezi, sijui kama bado yupo.....!
 
Hii kali...................! pata ushauri kwa mama teri.
???????????????
mi sijakuelewa,ww ni mdogo au mkubwa?kama hujui zinafyekwa,unamaanisha una rasta?
Ni wakubwa tu....!
hazifyekwi bana, na zikikosekana utakuwa umekulia uarabuni kimaadili, vinginevyo kuna shida....!
Thanks....
Oooops - Nimeingia Jukwaa la Wakubwa - Sorry!!!
Okay, na utoke mara moja.....
kwani ulizonazo zimefikia futi ngapi?
Sijazipima, lakini hata hazikaribia urefu huo.....
Putuka kisha pitisha mkasi
Duh.... ngumu....
wewe kama unataka kucommit sodomy sema tukuase kabla ya kugusa hako ka mchezo, uzifyeke nyasi za uani utafyekaje kwanza utakaa vipi, halafu ukifyeka jeshini hupati nafac shauri yako
Samahani mkuu, sina tabia hiyo wala siipendi, na walaaniwe wote wanaoendekeza...
Mimi bado mtoto but nilimchungulia babu so njoo nikuoneshe how zinavyofyekwa.
Na ukapigwa teke hadi sasa meno huna....
Ndiyo maana anasema anawauliza wakubwa tu-umefuata nini huku?
Asante kwa kuwakumbusha...
Hehehehehe eeeh bana hahahaa haya naona umekuja na ya kufungia mwaka
No, but just to ask.... zinashughulikiwa kama zingine?
Kama za kichwani zinanyolewa na kinyozi bila shaka na za uwani zina kinyozi wake
sijapata kusikia mkuu...
Wewe wajua? Msaidie mhusika, japo nikijaribu hata kuchunguza hajitokezi, sijui kama bado yupo.....!
I am back now.....
Hazikatwi mkuu//usijaribu hata kugusa huo
Shukrani kwa maoni yako..... noted fully...
 
kuna hair removal moja ,inaitwa nair ni nzuri sana,unajipaka kidogo tu,baada ya dakika kama 5 unachukua kitambaa unakitia maji,unafuta hiyo sehemu.nywele zote za uwani zinatoka,mimi natumia sana tu kutoa hizo nywele.na hata kwenye kwapa,huna haja ya kutumia viwembe.kwapa linakuwa safi na smooth
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom