Nawatakieni Kwaresma Njema

Mdondoaji

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
5,108
1,136
Ndugu zanguni wakristo,

Katika kudumisha umoja na mshikamano katika jamii. Najua hiki ni kipindi adhimu na kitakatifu naomba kuchukua fursa hii kuwatakieni Kwaresma njema.
 
Asante nami nakutakia pia mafungo mema !

Kwangu hiki ni kipindi kizuri cha kuto-jifikiria binafsi bali kuweka manufaa ya Tanzania mbele.
May God bless all who fight for better life in Tanzania. May He give us more courage to fight for more justice and for an open society where every Tanzanian will find our beloved country a better place to live !!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom