dah nataka nikeshe ila siwezi,ingekuwa weekend ningepiga tungi.
Oooh my God!! Sasa wewe wengine tulipo ni mchana.
nikipiga tungi nitaendaje kazini na hangover?
Dah!! hayo mauno ya dada nimeyakubali. Nadhani atakuwa ni mmakonde tu huyo. Loh!!.BIX uwe na mda wa kupunzika bhana,nakushangaa jina kubwa avatar ndo hiyo.
asubuhi na hangover lazima utachelewa kuamka halafu mda huo wa supu utatoka wapi mkuu,najua we sahizi ndo mchana kwako
Wasukuma hawajui kukatika. ni magogo tu. Labda mngoni.Angekuwa mmakonde angekuwa amechanjwa chali....labda msukuma
Hahahahahaha.... hamuwezi BIG X.