Nawatakia siku kuu njema...lakini kumbuka vitu vitatu muhimu!!!

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,253
11,598
Ndungu zangu, wajukuu, marafiki zangu wakubwa, wadogo zangu, kaka zangu, shemeji zangu na wooote wenye mapenzi mema.....waliopotea na waliopo...Bwana asifiwe sana, asalaam aleikum!!!

Naomba nikuchukukue nafasi hii (kwa ruhusa ya wadau wa familia yangu) kuwatakia heri ya siku kuu ya Noeli kwa wale watakaoisherehekea na maandalizi, na hatimaye siku kuu njema ya mwaka mpya wa 2011.

Naomba mzingatie na kuhangaikia vitu vitatu tu katika kipindi hiki..navyo ni furaha, raha na amani. Usimkwaze mwenzio, jirani yako na wala mjakazi wako.

Mungu awabariki sana, tutaonana baada ya siku kuu...Inshallah!!!!!

Babu DC...1947.
 
Amina babu DC,,ntazingatia wosia wako.Uwe na sikukuu ya baraka wewe na wote wanaokuzunguka.

Ubarikiwe mpaka ushangae
 
Amen Babu DC. Nami nakutakia amani,raha na furaha

Ahanste mkuu. Nitafikisha salamu kwa bibi!!

Amina babu DC,,ntazingatia wosia wako.Uwe na sikukuu ya baraka wewe na wote wanaokuzunguka.

Ubarikiwe mpaka ushangae

Ahsante, ujumbe wako umefika. Nitumai hapo kwenye RED sitamsababishia Bibi kijipressure!

Mungu akubariki sana.
Inshallah iwe hivyo na kwako pia. Salimia familia.

Amen
 
Bab nakutakia kila la heri kwenye maandalizi uwe na amani, furaha, na raha na baraka za bwana ziwe juu ya familia yako
 
Binafsi ninashukuru sana babu kwa kunikumbusha mambo hayo muhimu ambayo kwa udhaifu wa kibinadamu huwakwaza watu wengi.Hapa ndipo umuhimu wa hekima za wazee unapoonekana.Na kwa niaba ya wana JF wenzangu naomba nikutakie nawe maandalizi mema ya siku hii muhimu na bwana akutangulie katika kila ulitendalo.
 
Nashindwa kujizuia ila naomba kuwashukuru sana nyote mlionitumia salama hapa na hata wale wambao wamenitumia kimya kimya kwa sababu ya upendo uliojaa mioyoni mwao.

I wish to let you all know that I have been exceptionally and sincerely touched by your lovely messages.

Mungu awabariki sana.

Babu DC.
 
nashindwa kujizuia ila naomba kuwashukuru sana nyote mlionitumia salama hapa na hata wale wambao wamenitumia kimya kimya kwa sababu ya upendo uliojaa mioyoni mwao.

I wish to let you all know that i have been exceptionally and sincerely touched by your lovely messages.

Mungu awabariki sana.

Babu dc.

ubarikiwe sana babu during this festive season
 
Nashindwa kujizuia ila naomba kuwashukuru sana nyote mlionitumia salama hapa na hata wale wambao wamenitumia kimya kimya kwa sababu ya upendo uliojaa mioyoni mwao.

I wish to let you all know that I have been exceptionally and sincerely touched by your lovely messages.

Mungu awabariki sana.

Babu DC.

Ubarikiwe sana bro D.C tupo pamoja.

Kuelekea sikukuu wengine tumeamua kujipa likizo ya unywaji kuwapisha wanao kunywa kwa fujo siku za sikukuu sisi tutakuwa kama ambulance kuwabeba na kuwawaisha hospitali.
 
Kwa niaba ya familia yangu napenda kukutakia raha, furaha, amani na upendo wewe na familia yako mungu akubariki sana usherehekee vyema na uweze kutimiza malengo yako uliyopanga. Sikukuu njema na urudi salama mwakani. Hapo kwenye red umesahau nimeonyesha msisitizo
 
Poa Mjukuu wangu,

Hivi ukifanya hii hesabu jibu lako utalikosa kweli (RED)? Furaha+Raha+Amani (ya mwili, roho n.k)?????

Siku kuu njema DA ila umpatie likizo kidogo BE ili mwenye hati miliki atawale. Au unaonaje?

Halafu unajua hukusema kama umesharudi au la? Siyo vizuri hivyo, babu hataki!!
 
Ubarikiwe sana bro D.C tupo pamoja.

Kuelekea sikukuu wengine tumeamua kujipa likizo ya unywaji kuwapisha wanao kunywa kwa fujo siku za sikukuu sisi tutakuwa kama ambulance kuwabeba na kuwawaisha hospitali.

Hapo mkuu umenimaliza. Naona level yako ya kujitolea inakaribia kipimo cha Bwana Yesu..Ubarikiwe sana kwa kukubali kuwabebea wenzio misalaba yao hata kama wameichonga makusudi.

Inshallah...Mungu atakuzidishia!

Babu DC
 
na wewe pia DC uwe na sikukuu njema na family yako.
Mungu awalinde kwa upendo wake
 
Back
Top Bottom