Nawatakia MAULIDI njema

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,488
86,003
Haya kesho ndg zetu watakua wanasherehekea kuzaliwa kwa Mtume SAW. Ninawatakia sikukuu njema ila ombi langu kwenu, kesho viongozi wenu wajitahidi kutoa speech zenye mwelekeo wa nchi na sio kulalamika kuwa wanaonewa na kumfagilia jamaa, wajaribu kuwa realistic.

Nawatakia sikukuu njema tena
 
Mkuu tuanshukuru but mbona uameanza kuleta majungu tena!
nakutakiwa na wewe sikukuuu njema!
 
Haya kesho ndg zetu watakua wanasherehekea kuzaliwa kwa Mtume SAW. Ninawatakia sikukuu njema ila ombi langu kwenu, kesho viongozi wenu wajitahidi kutoa speech zenye mwelekeo wa nchi na sio kulalamika kuwa wanaonewa na kumfagilia jamaa, wajaribu kuwa realistic.

Nawatakia sikukuu njema tena
Twashukuru mwana jamvi.
siku hiyo nafahamu ina malengo yake maalumu.
 
Mawlid is not permitted in the Koran. There is no any ayat that Allah is saying/commanding/authorizing people "muham-madans" to celebrate the birthday of Marehemu Muham-mad.

The Prophet said, "He who innovates something in this matter of ours that is not of it will have it rejected." He also said, "Beware of innovations, for every innovation (kul bida`) is misguidance."

The word every (kul) is a term of generalization, including all types of innovations, with no exception, and that therefore, celebrating Mawlid is misguidance.
 
Wewe acha zako,

Katafsiri hizi aya Kulu bidaatul minal rusuli, Wamaarsalnaka ila rahamatul lilalaamin, vilevile katafisiri hadithi hii mansana sunnatil islamu hassanata.

Mkuu Elli shukrani kwa salamu wacha nikajiunge na waislamu huku jangwa la sahara tukasherehekee maulid.
 
Mkuu tafsiri hiyo haya.
 
:A S thumbs_down:
 
Mkuu tafsiri hiyo haya.

Aya:-

1. Kulu bidaatul mina rusuli - Tafsiri yake kutoka katika Jalaludin wawili na vile vile Abdallah Yusuf Ali inasema hivi " Wewe ni bidaa kutokana na mitume (Hivyo utaona mtume ametajwa kuwa ni bidaa kutokana na wenzie waliotanguliwa).

2. Innallahu wamalaikatau yuswaluna allanabi yaiyuhaladhina amanu swalu alaey wasalim mutaslim - Tafsiri Ama hakika mmungu na malaika wake wanamswalia mtume na kumtakia rehma.

3. Wamaarsalnaka ila rahmatul lilalaamin - Ama yakini wewe mtume ni rehma kwa waumini

Hadithi:-
1. Mansana Sunnatil Islam Hassanata - Mtume SAW anasema yeyote mwenye kuanzisha jambo katika uislamu linaloendana na katika mwenendo wetu basi linafaa liendelezwe.

Sasa kwa ufupi juu ya maneno hayo ni hivi:-
1. Kwaza bidaa kumbe ilikuwa kumbe hata wakati wa mtume maana tafsiri ya bidaa ni kitu kinachozuka na mtume alikuja na vitu ambavyo havikuwapo kabla yake. (mfano Sala tano alikuja nazo mtume hakuna yeyote aliyekuwa na sala tano)

2. Tunaona kuwa sio bidaa ni uzushi na dhalala kama wengi wanavyomislead bali kuna bidaa zengine ni nzuri ndio maana kuna bidaa zengine zinaitwa bidaatul hassanat.

3. Maulidi watu wanamswali mtume kitu ambacho kimezungumziwa pia katika quran kama aya hapo juu zinavyosema mmungu na mtume walikuwa wanamswali mtume haikutajwa vipi inamaana haina taratibu maalum (sio kusema Allahuma salli alaa muhammad hiyo ni misleading kwasababu Abu Huraira alivyosema vile ni kumsalia mtume kwa namna anavyoona yeye kuna masahaba kama seyyidna Omar ilidhibiti akimswali mtume kwa kusema Allahuma sali alaa seyyidna muhammad walaa seyyidna muhammad bil muuminina raufu rahim je nao walikosea utakuta jibu hapana).

Nilikuwapo wacha nikaendelee kumalizia ubwabwa wangu....
 
haya mas-ala ni mazuri ila tuyajadili kwa utaratibu bila jazba. Mawlid ni sahihi hakuna mashakil .
Pia bid'aa ataje anazozijua yeye ni ngapi?
Hiyo kullu anazijua ngapi?
 
haya mas-ala ni mazuri ila tuyajadili kwa utaratibu bila jazba. Mawlid ni sahihi hakuna mashakil .
Pia bid'aa ataje anazozijua yeye ni ngapi?
Hiyo kullu anazijua ngapi?

Ayat please. Acha mas-allah weye. Unasherehekea mawlid bila ya ruhsa ya allah?
 
Ayat please. Acha **mas-allah** weye. Unasherehekea mawlid bila ya ruhsa ya allah?
Hapo kwenye nyota mbona maajabu mengine!
Hata hiyo aya uitakayo sijui itakua vipi?
Uliulizwa kiduchu lakini umeshindwa hadi sasa kutoa jawabu....mawlid ni nn maana yake?
Ukiieleza labda!!!!ungeweza kusaidiwa hiyo aya uitakayo!
Ngoja tuwaulize wana jamvi kuhusu mabomu huko Dar-E-Africa.
 
Back
Top Bottom