Nawatafuta - AMINATA, EXCELLENT, na THE FINEST.

Wapo wanatumia id nyingine inawezeka ata wewe ni mmoja kati ya hao mapacha 3
 
excellent kaenda kuoa huko kwao Lindi harusi inafanyika week end hii Alishikwa ugoni ikabid aozeshwe kwa lazima
 
teh teh teh usijali mana nilivyotoroka nilikuwa namwaza TaiJike

Hahahaaa......mitihani ya taijike waijua lakini anavyoruka angani na kuachia kijiti utaweza kukidaka? ntakutumia link badae usome sifa zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom