Msaada: Kuwashwa njia ya haja kubwa

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,181
409
Habari wana Jf doctor?

Ngoja niingie kwenye maada moja kwa moja, kwa muda wa kama wiki sasa nimekuwa nikiwashwa sana sehem za siri (njia ya haja kubwa), nimejaribu ku2mia sabun tofaut lakn wapi, naombeni kwa mwenye ujuzi wa dawa au sabun za muwasho anisaidie

Nipo chuoni so natumia mabafu na vyoo vyakushare(watu wengi)...
 
Wewe ni ke au me? Kama ni Me shika bomba la uume wako afu uuminye kama unaukamua kuelekea mbele.....ukiona unatoa majimaji yaliyo kama usaha ujue mambo tayari. Mbali na hayo ni vizuri kwenda hospitali kupata ushauri wa daktari.
Habari wana Jf doctor?
Ngoja niingie kwenye maada moja kwa moja, kwa muda wa kama wiki sasa nimekuwa nikiwashwa sana sehem za siri (njia ya haja kubwa), nimejaribu ku2mia sabun tofaut lakn wapi, naombeni kwa mwenye ujuzi wa dawa au sabun za muwasho anisaidie,
nipo chuoni so natumia mabafu na vyoo vyakushare(watu wengi)...
 
Wewe ni ke au me? Kama ni Me shika bomba la uume wako afu uuminye kama unaukamua kuelekea mbele.....ukiona unatoa majimaji yaliyo kama usaha ujue mambo tayari. Mbali na hayo ni vizuri kwenda hospitali kupata ushauri wa daktari.

Mie ni mwanaume mkuu, na sidhan kama ni tatizo la magonjwa ya ngono, bt ntajaribu mjumbe ushaur wako.
 
Jaribu tu mkuu ili kujiridhisha! Haya magonjwa sometimes unaweza kuyapata kwa ku share vitu ambavyo ni contaminated. Mfano; sabuni, mataulo, leso, bafu moja ambalo halifanyiwi usafi kikamilifu.
Japo njia kubwa ni ya kufanya ngono na mtu mwenye maambukizi.

Nimekusoma mjumbe coz ni kweli choo na bafu ni vyakushare, ntaifanya hyo.(lakni mbna ni kwenye haja kubwa inakuwaje test niifanyie mbele?)
 
Acha kuvaa bukta zito, vaa boxer au chupi. Vizuri utafute zile za VIP
 
una muda gani tangu upate dawa za minyoo?inawezekana una minyoo jaribu kwanza uone kama itasaidia...pole sana
 
Fuata huu ushauri manake hautakudhuru kitu. Nenda dukani sasa hivi kama hujanywa chai. Nunua dawa ya minyoo broad spectrum (yaani inayoua minyoo yote) afu utumie. Usile kitu for 1 hour. Jizoeze kunywa dawa ya minyoo kila miezi 6. Haiambukizwi, ni hayo makachumbari ya kwenye vyepe.
Kama bado nenda dispensary ya chuo,soi umekatwa hela ya matibabu?
kunywa dawa ya MINYOO. Tena kanunue right now. Itaisha iyo.
 
Ni PM nikupe maelekezo mkuu. Nilikuwa na tatizo km hilo lkn sasa hv limekwisha kabisa. Ikiwezekana weka no yako ya cm
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom