Nawashukuruni Wana JmiiForum wote-KakaKiiza

Pole sana kakangu nimesoma neno lako la shukrani nimefarijika sana kuona kumbe juhudi zetu zilikupa ujasiri, endelea kujipa moyo na pia mtegemee mungu..hebu jiambie mbona kuna watoto wanazailiwa tuu mama zao wanakufa na wanakuwa huku wakiwa hata hawakubahatika kuwaona wamama zao mshukuru mungu kwa kipindi chote alichokujalia ukaishi na mkeo mpenzi tokea urafiki uchumba mke wa muda wote huo utakuwa huna shukrani kwa mungu kama utalaumu neno unaloweza kumwambia muumba wako ni hili Asante mungu nilimpenda lakini wee umempenda zaidi jina lake lihimidiwe...pia muombe akupe ujasiri na usimame nguzo mbili baba/mama kumtunza huyo mtoto uliyeachiwa...endelea kumtegemea mungu soma Zab 121...cheers kaka kiiza..we love you be strong...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom