Nawashukuru VIJANA wa CCM kwa kuitikia wito kusadia waathirika DSM

Nawashukuru sana sana vijana wa CCM na wazalendo wengine wote baada ya kutoa wito kushiriki kutoa misaada mbalimbali kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea Dsm, mmejitekeza kwa wingi na moyo mkubwa kwa misaada na kujitolea kufanya usafi na kusaidia shughuli mbalimbali kwenye maeneo mbalimbali. Nilimopita nimewakuta mkifanya kazi lakini hata wananchi waliothirika wameshukuru sana uwepo wenu. Nawashukuru HUO NDIO UZALENDO, UUNGWANA NA UTU. MUUNGWANA NI VITENDO.....

Wengine wote bila kujali itikadi zenu naomba mjitolee kusaidia ndugu zetu watanzania wenzetu walioathirika.

Huyu kijana ni mlemavu wa fikra. Huwezi kuzungumzia "kuachana na itikadi za vyama" halafu hapo hapo "unawashukuru vijana wa CCM"!

No wonder Yusufu Makamba alikufungia duniani na mbinguni
 
Hivi Huu Uwanja waliununua au Walipewa Bure? hawa Wana Wa Jangwani Jangwa lenye Mafuriko?
Je Manji Ataujenga Upya? Serikali isiwaachie wala kuwaonea Huruma Wahamishe Club yao..
Kama Serikali ikifyata kwa Sababu zisizo elewekaKuwaondoa hapo Walipo na Kuwapa Eneo Lingine Salama,basi Nawashauri Wana Yanga Wawe Wanachukua Tahadhari Kubwa Sababu eneo walilopo ni la Hatari na Ukiwekeza Mwisho wa Siku ni Hasara tu Wawe wanaweka na Bima (Insurance) Ni Muhimu Sana Sasa hali ishatokea wataanza kutembeza Bakuri kona Zote Wajengewe Uwanja.....!


 
Hivi kitengo cha maafa kina kazi gani???

Kwa nini kila janga likitokea ni bakuli tu linapita?
 
Back
Top Bottom