Nawashangaa wanaoshangaa

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
WATANZANIA NA HASWA WATANGANYIKA NI HODARI MNO KWA KUSHANGAA MAMBO.
1. WATANGANYIKA WANASHANGAA ZANZIBAR KUWA NA BENDERA YAKE, WIMBO WAKE, MIPAKA YAKE N.K.
2. WATANZANIA WANASHANGAA KUPANDA KWA BEI YA VITU MUHUMU KAMA SUKARI. MCHELE N.K
3. WATANZANIA WANASHANGAA KUPANDA KWA BEI YA UMEME, DIESEL, PETROL N.K
4. WATANZANIA WANASHANGAA KUONGEZEKA KWA AJALI BARABARANI, MAJINI N.K.
5. WATANZANIA WANASHANGAA KUAMBIWA ASIYEWEZA KULIPA MAULI MPYA APIGE MBIZI.
6. WATANZANIA WANASHANGAA KUSIKIA WAZIRI AKIWARUBUNI VIONGOZI WA CHAMA PINZANI KUHAMA HUKU NCHI IKIWA GIZANI.
PANA MAMBO MENGI MNO YANAYOWAGUSA KIMAISHA NA WAO WANASANGAA TU.
NAMI NAWASANGAA VILE VILE.:A S embarassed:
 
naona sikuhizi kuna mchanganyiko wa great thinkers pamoja na wehu, lakini shukrani kwa nyie wehu kama wewe... Mnawafanya great thinkers wafikiri zaidi... Hata mi nashangaa kuona mwehu miongoni mwa great thinkers!
 
umenikumbusha maksa wa babu wawili waliokuwa wakiongea wakiwa wanachunga ngombe wao wakati wa jioni huko kiwila rungwe,
maongezi yao yalihusu kushuka kwa shs pale mmoja wapo alipokuwa anamwambia juu kuisha kwa pesa yake iliyotokana na mauzo ya ngombe na ndipo kichaa mmoja aliyekuwa akipita kati yao alipowakatisha wazee hawa kwa kuwambia anawashangaa kwa kushangaa kwa nini pesa haina thamani, na wakati huohuo ni ngumu kuipata, kwa kuwambia hawana sababu ya kulijadili hilo kwani hata wagunduzi wa fedha hiyo kwa sasa wanauana kwa misingi ya fedha, na wao leo hii hawana fedha, na wanakabiliwa nia ukata mkubwa
 
Kweli Taifa lipo maabara,vinaibuka viumbe vya jabu kweli!bila shaka mkuu wa maabara mwalimu jk atazidisha conc H2SO4 kushikisha watu adabu!!
 
Is this topic posted by a real Great Thinker? Am out of this anyway!
 
mimi nawashangaa wanaomshangaa huyu jamaa na kusema eti sio GT ....wakati hao hao ndio walimpigia jk kura za kwenda magogoni ..nnawashangaa sana
 
naona sikuhizi kuna mchanganyiko wa great thinkers pamoja na wehu, lakini shukrani kwa nyie wehu kama wewe... Mnawafanya great thinkers wafikiri zaidi... Hata mi nashangaa kuona mwehu miongoni mwa great thinkers!

mkuu hivi hujui katika wehu kuna mmoja ambaye ndo mwenye akili, na pia kwa mwenye busara unaweza ukajifunza kitu kutoka kwa mwehu.
NAKUSHANGAA WEWEW PIA KWA KUSHANGAA WEHU NDANI YA MA GREAT THINKERS.
 
naona sikuhizi kuna mchanganyiko wa great thinkers pamoja na wehu, lakini shukrani kwa nyie wehu kama wewe... Mnawafanya great thinkers wafikiri zaidi... Hata mi nashangaa kuona mwehu miongoni mwa great thinkers!

mhhhhhhhhh!
 
We unaweza kuwa mwehu kwa kutokuelewa jamaa anamanisha nini! Kutokuelewa kwako ndo ujanja wake na ujinga wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom