Nawasalimu wote nawapenda sana asanteni kwa PM zenu.

Kama ni kweli anachokisema hajui namna ya kutuma multiple Email, txt msg na JF private message, basi kuna ulazima wa vijana kutokimbilia kupost vitu humu badala yake siku moja moja wawe wanazitumia kwa know how ya computer knowledge. inaonekana humu option nyingi watu wanaziona kama mapambo wakati kila button ina kazi yake, ndio maana huwa sishangai issue ya kuMp Invisible utashangaa inaanzishiwa thread!!

Well kila mtu anajifunza at some point. . . wengine wanawahi kwa kuwa ni watundu na wengine wanachelewa kwahiyo inabidi tuwe tunaelimishana taratibu.
 
ukata mkuu
watu skuhizi wanajisingiziaga
harusi ukiwachangia wanahama veni
hahahahahahaha msamehe tu huyo
kloro

Unagunini celebrity wetu ?

U2

PM zote hizi kwenye cafe si alfu itaisha?

Nadunduliza si unajua hata kahawa chungu za mtaani zimepanda kutoka 50 mpaka 100 ?

Punguza hasira mrembo.

Kloro kakimbia na mchango wa wasamaria.
 
karibu tena mkuu
wenzio tukiwa uswazi tunatumia visimu ili walau
ujue nini kinaendelea hapa duniani.
 
Namimi nashkuru kwa wale wadada wasiopungua nane walionitumia PM na kunambia wanatamani wapate mbegu zangu ili wapate bahati ya kuzaa machotara. Nimezingatia ombi lenu na limekubaliwa, acha nipige mmkuyyat wa pweza ili mbegu zinenepe kidogo na watoto wakizaliwa waweze kukabiliana na mafuriko na siasa za ubaguzi.

Na baada ya hapo napenda kutuma salam kwa wazembe wooooooooooooooote wa JF ambao kwa hiari yao, bila malipo yoyote wamejitolea kuandika pumba jukwaa la chit chat bila kupigwa ban.

Acha nitimue, hapa CNN centre hawaturuhusu kabisa kuingia JF yaani

Klorokwini iz not reachabo pliz leave the message after the tone. twiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Back
Top Bottom