Nawasalimu wote nawapenda sana asanteni kwa PM zenu.

Samahani kwa kutokuonekana hapa kwa muda laptop yangu imegoma kufanya kazi nawashukuru wote 32 mlionitumia PM asanteni kwa kunipenda nami nawapenda pia,nawatakia wiki njema.
Ujumbe huu ungewatumia kwa Pm ingenoga zaidi, hapa ungeshusha topic mbadala.
 
Genuinely Uporoto1 you were missed Pal.... Welcome back na Glad to have you.....

 
Last edited by a moderator:
Welcome back,
ila ungeingia hata
internet cafe bhanaa
sa ikiibiwa si ndo utapotea mazma
mpaka ununue ingine?
 
Unagunini celebrity wetu ?

happy new year Uporoto01
U2

Ujumbe huu ungewatumia kwa Pm ingenoga zaidi, hapa ungeshusha topic mbadala.
PM zote hizi kwenye cafe si alfu itaisha?

mkuu ulikosa hata kijisimu cha mchina?
Nadunduliza si unajua hata kahawa chungu za mtaani zimepanda kutoka 50 mpaka 100 ?

wewe msemaji wake au?
Punguza hasira mrembo.

Welcome back,
ila ungeingia hata
internet cafe bhanaa
sa ikiibiwa si ndo utapotea mazma
mpaka ununue ingine?
Kloro kakimbia na mchango wa wasamaria.
 
Unaweza ukatuma PM moja kwa multiple members. . pale unapoandika jina la mtumiwaji unafanya kutenganisha majina kwa comma kisha unatuma.
Kama ni kweli anachokisema hajui namna ya kutuma multiple Email, txt msg na JF private message, basi kuna ulazima wa vijana kutokimbilia kupost vitu humu badala yake siku moja moja wawe wanazitumia kwa know how ya computer knowledge. inaonekana humu option nyingi watu wanaziona kama mapambo wakati kila button ina kazi yake, ndio maana huwa sishangai issue ya kuMp Invisible utashangaa inaanzishiwa thread!!
 
Back
Top Bottom