nawasalimu wana jf wote

Martin Jr

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
582
183
Mimi ni Mbunge na sasa nimeamua kuwa mwanachama wa jf kwa mark hii mnayoiona , nafikiri jambo la msingi leo ni salamu nakuwapongeza wote wanaoshiriki katika mijadala mbali Mbali . Nitatangaza jina langu halisi baada ya siku chache ,
 
Tunashukuru Samwel Sitta.

Mimi ni Mbunge na sasa nimeamua kuwa mwanachama wa jf kwa mark hii mnayoiona , nafikiri jambo la msingi leo ni salamu nakuwapongeza wote wanaoshiriki katika mijadala mbali Mbali . Nitatangaza jina langu halisi baada ya siku chache ,
Kama ni mbunge ni mwakilishi wa wananchi,inakuwaje unajficha ficha?Acha sound.
 
Mimi ni Mbunge na sasa nimeamua kuwa mwanachama wa jf kwa mark hii mnayoiona , nafikiri jambo la msingi leo ni salamu nakuwapongeza wote wanaoshiriki katika mijadala mbali Mbali . Nitatangaza jina langu halisi baada ya siku chache ,

Karibu sana JF mheshimiwa Mbunge. tunategemea kupata michango yako ya kutosha katika jamvi hili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom