Nawapongza sana Prof Muhongo/Maswi, ingekuwa Ngeleja/Jairo ingekuwaje?

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,169
Lazima tuwapongeze viongozi hawa waandamizi wa Wizara ya Nishati kwa kuweza kuhimili mapigo ya mafisadi, kuonyesha jeuri ya Mtanzania na hatimaye kushinda.
Ni rare siku hizi kwa viongozi wengi kuhimili kutongozeka na hatimaye kununuliwa na fedha za hongo toka nje, hasa katika sekta hii ya Nishati.

Na hapo ndo nikawaza, je wangekuweepo chale mwembamba na chale mrefu,Jairo na Ngeleja,leo tungekuwa tunazungumza nini?
 
Back
Top Bottom