Nawapenda woooooote, nawatakia Eid njema

Tausi.

Senior Member
Aug 29, 2011
123
48
Kwa hakika ni jambo la kushukuru kwa kuwa na afya tele mpaka muda huu,
ni wengi wagonjwa, waliokata tamaa, waliofiwa, wenye mahasibu chungu nzima, tuwape pole na tuwafariji.
Na sisi tulio na furaha kwa kuwa na afya tele, sisi, familia zetu, majirani zetu, marafiki zetu na wooote tuwapendao
tumshukuru ALLAH (S.W) kwa kila jambo.

NAWATAKIENI EID NJEMA, MFURAHIE KWA AMANI NA UTULIVU, NA WALE WATAKAOJAALIWA WACHINJE
KWA SABABU HII NI EID YA KUJINJA, ALLAH (S.W) ANASEMA -

((Basi swali na uchinje kwa ajili ya Mola wako)) [Al-Kawthar: 2]
eid mubar.jpg Kuchinja ni moja ya ibada za Kiislam ambayo inatukumbusha Tawhiyd ya Allaah
(Subhaanahu wa Ta'ala) na Baraka Zake kwetu, pamoja na kutupa mafunzo ya utiifu wa baba yetu
Ibraahiym kwa Mola wake na kumpwekesha Allaah.
Hivyo ibada hii ya kuchinja ni muhimu sana kwa Muislam,
na inatupasa tuizingatie kwa makini na kuitekeleza.

EID NJEMA.

 
Mashallah!!! Bandiko ZURI Tausi.... Inshallah Nakuombea nawe Pia Eid Njema ilojaa Upendo...
 
Back
Top Bottom