Nawapenda masistadu ila siwapati, nifanyeje?

Hahahaaaaa! Speedy ni victim wa ZOMBINIZATION!!!!! LIMAO!!!! Tatizo lako SPEEDY your game has EXPIRED ndo maana unapata WIFE!!! LOLEST!!! U need to restructure your game!!!! Maduu ni watu wenye akili sana ukizubaaa tu ushafanywa ZOMBIIIII hivooo. Ngoja nikupe hii mbinu ya WAZINZI inaitwa AK 47 kutokana inabeba chochote hata nduguyo akikaa vibaya. Hii bwana huwi mtu wa kutongoza na kuimbishaimbisha nyimbo warembo. Wewe unatengeneza mazingira hatarishi tu. Unamuomba demu akusindikize Mikumi, by the time mnarudi ISHABAKI STORY TU. Sema yataka roho ngumu kumla mtu bila ridhaa yake ila kwa kumzidi akili. IKIFELI hii mbinu ni PM nikupe mbinu aina ya 36 CALIBER manake CV yangu si nzuri ni busara nikiacha kuichafua zaidi hadharani
Apo kwen cv umesemaje kweli lol
 
Unakosa maduu??..wewe wa wapi bana?
Unless uniambie unazo za kuhesabia mfukoni..
Kwa hiyo wewe wako kuku wa kienyeji tu..no bata mizinga..pole sana aisee!!
 
Wape treatment za maana, wanapenda sana vitu vya hivyo masista duuu yaani ww utakuwa unagonga copy tu!:bounce:
 
naongea tu, sikuongelei wee mtoa mada.

Unajua kuwa wakaka wachache wanajidaiaga wasela ma.vi, afu wanataka masista du wa ukweli, hawawezi kuwapata.

Usela/brazameni hausomewi, ni swaga za mtu za asili tu ndio zinavutia masista du.

heheh.....excellent japo kajibu umekaficha ficha!!
 
wadau naomba mnisaidie mimi napenda masistaa duu sana ila kwa refreshment tu lakini kila napofanya juhudi kuwapata hata kwa pesa wanisumbua sana ila naambulia kupata walokole na watu decent kwelikweli(wife material) wakat mimi sio husband material. Nipen siri za kUwapata hasa hawa wanaopenda vya gharama wakat kwao wanalalia makuti

Wala usihangaike, tatizo lako ni kwamba huna mvuto ndo mana huwapati! Tafuta mvuto then utawapata wengi sana (ukimuona mtaalam atakusaidia):smiling:
 
Back
Top Bottom