Nawapenda Hawa Wadada/Wanawake MMU-Members 20 Bora.

Ni mtazamo tu! kama haikuhusu ipotezee au "PITA" Haina kubeza, Waacheni wajione michael anawaangalia kwa mtazamo gani.

AshaDii: Aunt heshima yako! Naomba urudishe shungi vidume vishaanza kutokwa udenda!
Afrodenz: Designer! nakukubali mrembo Jicho kama umekula kungu manga lainiiiiiiii.
Amyner: Mrembo uko poa kama ulivyo. September baby!!!

Black Womani: Black beautifuly
Cantalisia: Binti Mtambuzi uko poaa! Dogo katangaza nia kaishia mitini, Baba mkwe mkali
Da Pretty: Uko poa dada, Ila mtu kama yuko kwa nyuma yako basi anafaidi.
Firstlady: Jicho na mdomo aaaaah Mashaalah.

Kabakabana: Uko bombaa! mpaka unatishia usalama wa Mwali
King'asti:
Uko poa mtu wangu sema leo umerusha stimu! jibu hapa
Kipipi: Nambie mtoto wa kisukuma tupe kwa mbele sura tuione vizuri.

Kisukari Kama jina lako lilivyo, na huo mkono kama warusha kiss kwa mtu
Lizzy: Jimama la Unga LTD vipi kwemaa!?
Mwali: Hivyohivyo mama naona mtakatifu kaamua kukufunua shungi. Uko bomba! akugusi mtu.

Mamndenyi: Huyo bibi hapo anatuziba hatukuoni vizuri.
Mrembo by Nature: Hi
MwanajamiiOne: Jicho lako dada wee!

Preta: Aaa una macho laini mazuuriiiiii
Russian Roulette: Mmh Usinipige Ban mkuu, Hicho kifua kinamtoa udenda babu Asprini, Uko bomba mbaya.
Smile: Oooh! Pole mrembo endelea kumuuguza mama yetu.

Twande: Na wewe mtata mdadisi mpaka basi kwa baba mkwe Mtambuzi.

Jamani kama nimemkwaza mtu anisamehe, kwangu ni amani nawapenda wote members wenzangu!

daaah mkuu kwa kumwaga sifa sikuwezi lol.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom