Nawapenda Hawa Wadada/Wanawake MMU-Members 20 Bora.

1. Kumbe ni intelligence ni ya msuba? ndio more impressive sasa sababu inatokea inner you, sio copy paste wala kujifanya mjuaji... Me like that... (I'll try it with you)
2. Husninyo na Sweetlady ni wafwasi wako? basi ndio maana I like them both.
3. Usinambie Lucky_c_pesa ni Mwanaume :shock:

1 hiyo intelligence ya kuvizia nikichochea na msuba ndo kichwa inakuwa mwake (don't try that at home)
2 husn na sl hawana lolote, idea wanaiba kwangu kwanza!
3 kumbe laki si mahela ni mdada? Kazi mnayo ya kusaka millioni kufanya ugomvi!
 
Thanks Mkuu, pamoja sana! :poa
But I am curious: ningekua sina Avatar ungeweza kunikumbuka kwa michango yangu pekee?

Mmm! Hapo sio rahisi ndio maana hata Husninyo nimemuweka pending. sio kama simkubali la hasha, namkubali sana!
Kwangu avatar naona kama inaleta taswira fulani hivi karibu na uhalisi wa mhusika iwe kwa matendo au muonekano
 
Thanks for your honesty...
Mi avatar zinanichanganya sana... mfano wewe na Kizimkazimkuu nawaona kama mtu mmoja. lol

Lucky me, I rarely see avatars. Na_browse na simu na mara nyingi kwa pcs I disable images in social networks. So, I would notice you without ur avatar na huwa nasahau (najaribu kukumbuka avatar yako b4 hii haiji kabisaa, ila nakumbuka michango yako ya kitaaambo!)

1 U will try it with me? Hebu dadavua (ujue PAW anakusoma hapa, be careful
2 Hao husn na sl ni my passive smokers, watu wangu wa karibu so nikipuliza msuba wanaishia kuvuta moshi wake.
3 Afu usini-misquote banaa(nahisi ww mwandishi wa habari,kha!), mi sijui kama huyo laki si mahela ana jinsia gani, labda tukamchungulie kwa ruhusa ya invisible!
1. Kumbe ni intelligence ni ya msuba? ndio more impressive sasa sababu inatokea inner you, sio copy paste wala kujifanya mjuaji... Me like that... (I'll try it with you)
2. Husninyo na Sweetlady ni wafwasi wako? basi ndio maana I like them both.
3. Usinambie Lucky_c_pesa ni Mwanaume :shock:
 
Zis iz nemukolingi!
Mie sio mtundu, na Mzee wetu Mtambuzi anajua hapa anawekeza. Watch us! Sie huwa hatutoroki, tunam-blackmail dingi na gari anatuachia kabisaa ya kutokea!
We mtundu! baba mkwe Mtambuzi hana mabinti hapa! na wale wengine "Kauzu zaidi ya dagaa sijui ndio wamelala au washamtoroka dingi"?
 
Kabla ya hii I had a cartoon. Mwanamke ameshika a beautiful .357 magnum but then nilipotambulika officially kama Mod nikabadili nisije nikaonekana kama Eliza-wa-tegeta. lol
Lucky me, I rarely see avatars. Na_browse na simu na mara nyingi kwa pcs I disable images in social networks. So, I would notice you without ur avatar na huwa nasahau (najaribu kukumbuka avatar yako b4 hii haiji kabisaa, ila nakumbuka michango yako ya kitaaambo!)
 
Hauvuti nini sasa? Hauvuti sigara wala mtemba au hauvuti chochote kabisa?

Hata na mimi nilitaka kuuliza swali kama hili, Vijana wa siku hizi wanavuta mpaka ugolo! sasa akikutana na Valentine wake sijui inakuwaje domo linanuka kizeeee mmmmh! kinadada mna kazi.
 
1. I'd like to try it with you b'cause it's as if you are worried that if I try it at home/alone I might not do it the right way, na nakuona unamaujuzi. :)
2. Kama hutaki kuvuta na mimi basi let me be a passive smoker but then blow it very close to my face
3. Lucky_c_pesa anaonekana kua mwanamke kutokana na threads zake. Dada anaonekana mwenye maujuzi balaa!
1 U will try it with me? Hebu dadavua (ujue PAW anakusoma hapa, be careful
2 Hao husn na sl ni my passive smokers, watu wangu wa karibu so nikipuliza msuba wanaishia kuvuta moshi wake.
3 Afu usini-misquote banaa(nahisi ww mwandishi wa habari,kha!), mi sijui kama huyo laki si mahela ana jinsia gani, labda tukamchungulie kwa ruhusa ya invisible!
 
3. Lucky_c_pesa anaonekana kua mwanamke kutokana na threads zake. Dada anaonekana mwenye maujuzi balaa!
Bado unasisitiza!?
Haya haya ya kongosho na Asplin + Bishanga.
Kongosho mwanaume au mwanamke?
 
Mi siwezi kusisitiza bwana. Nasema kufatana na mtu anavo jitambulisha. Wewe ni Mwanaume sababu umejitambulisha kama mwanaume. Lucky-C-Pesa kajitambulisha kama mwanamke, tunamchukulia hivo.
Kongosho mwenyewe kasema hana gender (sijui hana, amechanganya zote mbili kwa pamoja au anakua na moja baada ya nyingine) kwa hiyo nae tunamchukulia hivo hivo.

Bado unasisitiza!?
Haya haya ya kongosho na Asplin + Bishanga.
Kongosho mwanaume au mwanamke?
 
Asante Mike... Bado nipo na hangova ya sikukuu lols.. Valentino ingekuwa kila mwezi..
 
1. No comment
2. No comment
3. No comment (hasa hapo kwenye 'maujuzi'
1. I'd like to try it with you b'cause it's as if you are worried that if I try it at home/alone I might not do it the right way, na nakuona unamaujuzi. :)
2. Kama hutaki kuvuta na mimi basi let me be a passive smoker but then blow it very close to my face
3. Lucky_c_pesa anaonekana kua mwanamke kutokana na threads zake. Dada anaonekana mwenye maujuzi balaa!
 
  • Thanks
Reactions: Taz

Similar Discussions

Back
Top Bottom