Nawanyoshea kidole wanawake msitafute mchawi.

na kusikiliza umbea wa saluni je? Mi wangu haruki!! Nikimshikia kiuno tu,anapiga goti!
Umbea ni hulka ya mtu,kwan hata asipoenda saloon atautafuta mitaani,na km mwanaume unamsimamo ukimkataza ataacha tu ila ni km huyo mkeo anakupenda kweli,
Tunaojitambua huwa tunaingia salun na kufanyiwa tulichokifata na kuondoka zetu.
 
niongezee, mara nyingi wanawake wamekuwa wanawanyima wanaume tendo la ndoa, hivi wanaelewa madhara yake, je wanafikiri mwanaume anashindwa kutafuta mwanamke mwingine wa nje ili apoze tamaa zake,waache utoto vinginevyo wataangamia. Biblia inasema 'wala msinyimane, tena hakuna mtu aliye na amri juu ya mwili wake, pia ndio maana Biblia inasema mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe, haisemi mwanaume.

Kingine, wanawake wengi wana kiburi, mwanaume anapomtafuta mwanzo atakuwa na heshima nyingi na kupigia hata magoti lakini akishamwoa anaanza kuleta dharau, wasipobadilika wataishia kufa kwa ukimwi au kufukuzwa nyumbani na watu kuingiza mali mpya ingawa hayo ni kinyume na mapenzi ya Mungu

wanawake acheni ubinafsi visingizio vya kusema umechoka au kwa kuwa una mtoto ndio maana hutaki kufanya tendo la ndoa vikome katika nyumba zenu, fuateni ushauri wa madaktari, sio kujiundia vitu vyenu vya kijinga katika vichwa vyenu. Haya wengine waksihazaa wanaondoka nyumbani na kukaa nje ya nyumba zao kwa miezi sita hadi mwaka mzima, hivi hawa wana akili kweli, mwaka mzima unatarajia mmeo nani anamhudumia nyumbani katika mambo yote
mwenye akili na hekima ataiponya nyumba yake lakini mwanamke mpumbavu ataivunja nyumba yake kwa nmikono yake mwenyewe

mambo hayo nimesikia na kuona yanatokea na imekuwa chanzo kikubwa cha kinachoitwa ukatili wa jinsia ya wanawake,hata wabebabaji wa maneno haya hawajafanya utafiti kwanini wanawake wanapigwa usiku na sio mchana,, wangefanya wangegundua kuwa ni kwasababu wengi wao wana kiburi an pia huwanyimwa wenzi wao tendo la ndoa.
Naomba kumuuliza kila mwanamke ndani ya jf ivi ww uliolewa unadhani kwa ajili ya kupika chakula, kwanini hamjiulizi kwani kabla ya kukuoa ww huyo mwanaume alikuwa hali chakula?

napita tu ila maada ni nzuri
 
Niongezee, mara nyingi wanawake wamekuwa wanawanyima wanaume tendo la ndoa, hivi wanaelewa madhara yake, je wanafikiri mwanaume anashindwa kutafuta mwanamke mwingine wa nje ili apoze tamaa zake,waache utoto vinginevyo wataangamia. Biblia inasema 'wala msinyimane, tena hakuna mtu aliye na amri juu ya mwili wake MWENYEWE, pia ndio maana Biblia inasema mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe, haisemi mwanaume.

Kingine, wanawake wengi wana kiburi, mwanaume anapomtafuta mwanzo atakuwa na heshima nyingi na kumpigia hata magoti lakini akishamwoa anaanza kuleta dharau, wasipobadilika wataishia kufa kwa ukimwi au kufukuzwa nyumbani na watu kuingiza mali mpya ingawa hayo ni kinyume na mapenzi ya Mungu

wanawake acheni ubinafsi visingizio vya kusema umechoka au kwa kuwa una mtoto ndio maana hutaki kufanya tendo la ndoa vikome katika nyumba zenu, fuateni ushauri wa madaktari, sio kujiundia vitu vyenu vya kijinga katika vichwa vyenu, mnavyohadithia katika saloon zenu amabvyo vingi ni vya kufikirika. Haya wengine wakishazaa wanaondoka nyumbani na kukaa nje ya nyumba zao kwa miezi sita hadi mwaka mzima, hivi ninyi mna akili kweli, mwaka mzima unatarajia mmeo nani anamhudumia nyumbani katika mambo yote

Manamke mwenye akili na hekima atakayeyaelewa haya ataiponya nyumba yake lakini mwanamke mpumbavu ataivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe

mambo hayo nimesikia na kuona yanatokea na imekuwa chanzo kikubwa cha kinachoitwa ukatili wa jinsia ya wanawake,hata wabebabaji wa maneno haya hawajafanya utafiti kwanini wanawake wanapigwa usiku na sio mchana,, wangefanya wangegundua kuwa ni kwasababu wengi wao wana kiburi na pia huwanyimwa wanaume/wenzi wao tendo la ndoa.

Naomba kumuuliza kila mwanamke ndani ya jf ivi ww uliolewa unadhani kwa ajili ya kupika chakula, kwanini hamjiulizi kwani kabla ya kukuoa ww huyo mwanaume alikuwa hali chakula?

Napita tu ila maada ni nzuri
 
we una hasira sana kaka!
 
Si unaona hawana majibu ya kutoa.Umewagusa mwana.Wanawake wa cku hz wana mapenz ya kimagumashi

Hizo nyumba ndogo mnazofata ni wanaume wenzenu kwa hiyo?

In short ukiuza "chain bandia", unalipwa "pesa bandia" vilevile.
Unamkumbuka Profesa Jay na wimbo wa 'Bongo Darisalam"?

Mamii wa hivi lazma ilikuwa ndoa ya mkeka au kulazimishwa, kisirani tu bila sababu? Mgonjwa huyo!
juzi kati mtambuzi kaleta story kuhusu rafiki yake kuomba ushauri kuhusu mke wake. sasa yule mwanamke utasema alilazimishwa kuolewa na huyo mwanaume au kisirani tu cha mwanamke jinsi anavyo mfanyia mmewe.?
 
mume ukiona mama ananuna bila 7bu ya msingi jaribu kumchunguza kimya kimya, baadae utagundua kuna mtu anamega nje, huwezi mnyima ruhusa ya kwenda kwao tena kwenye harusi anune.
 
huwa hainzi tu na kufika hapa!
tatizo lenu hamsikilizi!
kazi kukimbilia kasentensi kenu haka
HAYAISHI?
 
naomba msaada wenu waungwana kuna mwanamke kafanya maajabu,wamepanga kubatiza mtoto na kwakuwa fincial haikuwa vizuri wakatathimini kutengeneza msosi ya wadhamini wa mtoto na washikaji wachache ambao waliambtana nao kutoka church,baada ya mwanamme kuchakalika akapata pesa kidogo ya kukamilisha hilo jambo,alipo mpelekea mke wake ili aende sokoni mwanamke akenda kununua nguo ya mtoto ambayo hawakupatna kuinunua na hata nyumbani hapakupikwa,majukumu ayilo chukua mwanamme ni kwenda kuwachomea nyama wadhamini na soda na wakati wanakula mwanamke akatoweka zake haukuonekana,je swali kama ni wewe na huyu ni mke wako utamfanyaje tusaidiane kuhusu hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom