King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,781
mtambuzi,asante sana kwa uzi huu! unayosema ni kweli na kila wakati huwa nasema mwanamke mwenye watoto kuachana na mwanaume mnyanyasaji ni kuwafanyia favor watoto wake. ifike mahali tuseme kwa ujasiri 'i left him for the sake of my kids!'. sasa umenipa wazo jipya, hivi kama mama zetu wangeamua kuondoka at the 1st incidence of cheating, pengine hata kaka zetu wasinge-cheat wake zao? nawaza hivi kwa sababu mostly tunakua na courage ua kukataa kunyanyaswa manake wazazi hawakunyanyaswa. labda tunakubali cheating kwa sababu hiyo ilikua tolerated?its off topic,lakini topic hii imeniwazua kidogo,utanisamahani!