Nawakumbusha wezi... Weekend hii..!!

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,032
22,556
Wewe mwanamume.. "mke wa mtu ni sumu".. Utaliwa kiboga.

Wewe mwanamke "mume wa mtu ni sumu".. Utashushwa kizazi.

Weekend njema.
 
Wewe Data....weekend njema...humu hakuna wezi...tumetoka na familia zetu hatuibi km wewe
 
nakumbusha tu... Kuna "mu asia flan" indian origin.. Mtaan kwetu.. Kaliwa kiboga .. Alikua na kabiashara flan.. Wake za watu wakienda anafunga mlango anamaliza dukan... Wahuni wakashtukia wakajivunia maboga.. Kahamia Dar..
 
Ok take care
 
nitonye umewahi ona mwanaume anapata cku za mwezi(menstrual)... Acha wake za watu...

Kama unatokea Tanga haya mambo siwezi kukubishia maana naskia hata mimba mwanaume ukileta utata unabebeshwa
 
Tanga waapi..! Hii ilitokea kusini.. Kuna mshkaji mmoja aliiba mke wa mtu.. Akaenda haja ndogo... Akakoj*a ushanga mrefuu.. Ulipokata tu nae kifo.!
 
Kumbe huku wanakumbushwa wanaopenda kuchukua wake za watu, ngoja niwapige chabo wanavojigonga, lakini wanasemaga "MWONESHA NJIA KAPITIA" vip ushaliwa kiboga mzeiya??
 
hapana.. ila nilishuhudia kisa cha mhindi.. nmekitoa hapo juu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom