Nawakaribisha jiji la Tanga, ukiwa Tanga usipate tabu

Jamani acheni kua wavivu wa kuelewa mimi nimetembea maeneo mengi sana,kahama maeneo phantom nimekaa sana,mwanza misungwi,dar,iringa kote huko mara ya kwanz kufika ilikua tabu sana nimeteseka na ndio mana sipendi yatokee kwa watu wanaotamani kuja TA usitishwe na chochote tena kwa taarifa tu naweza kukusaidia kwa sim tu nakuelekeza sehem uitakayo kiroho safi,haiwezekani mtu unakuja tanga uanze kutangatanga njoo pm
 
Mkuu nataka mtoto wa kiarabu awe na figure taam sana kuna kazi nataka kumpa

Babu hao wapo ila wanataka mitongozo ya muda kidogo utaweza?kama uko tanga itakua rahisi ila kama uko far utachukua muda kuipata papuchi watoto wa huku kutoka kazi sana
 
aiwezekani ufanye yote afu uchukue nauli tu akili zangu zinaniambia kuna kitu nyuma ya pazia

Acha wasiwasi boss,mi niko wazi sana najulikana vizuri tu,usiwe na hofu,nasaidia tu kwa vijingarama ambavyo sikupangii,tuishi kwa kusaidiana nikikumbuka Mara ya kwanza kutua Moro yaani nilichukia saaana
 
Hakuna mtu dunia hii ya sasa anaweza fanya jambo bila manufaa,ukapoteze muda wako kwa mtu usiemjua kufanya maandalizi ya kulala na viwanja vya starehe then unaenda zako kwako na shughuli zako,haiingii akilini ndugu we sema tu lengo lako mkuu ueleweke!
Ukarimu huu haupo karne hii ya 21,sema tu huo ni udalali tu,nikiwa na shida natangaza tu hapa JFkuwa kwa anayejua Tanga kuhusiana na malazi n,k na nitapata jibu buure kuliko kuongozwa na mtu usie mjua mwishowe anaweza kukugeuzia kibao,bure ina gharama ,dunia ya sasa imebadilika ,ukimuona usoni mwanadamu lakini moyoni cobra
 
achana na mleta uzi

Mh huko kuharibiana shughuli sasa,anyway nilichokitaka ni wageni kusaidiwa sikua na lengo baya kama umeamua kuungana nami its ok ndio ubinadamu wenyewe huo,hongera kwa ukarimu mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom